crocodile
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,864
- 2,955
Katiba yao iko vizuri, muda uliopangwa ukifika lazima atakabidhi mzigo tu.Mpaka sasa Trump bado hajakabidhi ofisi kwa Biden
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba yao iko vizuri, muda uliopangwa ukifika lazima atakabidhi mzigo tu.Mpaka sasa Trump bado hajakabidhi ofisi kwa Biden
Hakika atatoka mkuuKatiba yao iko vizuri, muda uliopangwa ukifika lazima atakabidhi mzigo tu.
Pesa ilimfanya Yuda amsaliti bwana Yesupesa pesa peeeesaaaaa
Sawa boss. JPM hakika anajitahidi sana mkuu...Ombi langu ni moja tu, Ifike mahali wote tusiwe mashabiki wa vyama, badala yake tuwe mashabiki wa mtu mwenye uwezo wa kutuvusha kama nchi
Kuna baadhi ya waafrika wanatia sana huruma...Mwafrika ni dhaifu mbele ya pesa. Tofauti na wenzetu wao Jamii kwanza sisi tumbo kwanza.
Mkuu, does Africa has its own definition of democracy?Mwafrika ni dhaifu mbele ya pesa. Tofauti na wenzetu wao Jamii kwanza sisi tumbo kwanza. Thus si ajabu kumkuta mtawala wa kiafrica anaomba pesa nchi iwe masikini anaficha ulaya eti anawekea kizazi chake utadhani nae aliwekewa utajiri na baba yake
Democracy has only one definitionMkuu, does Africa has its own definition of democracy?
Sawa bossDemocracy has only one definition
Really? But I am not so sure...Mimi naona kama demokrasia ni mkakati wa mataifa ya magharibi kusimika ajenda zao kwenye mataifa mbali mbali baada ya kuweka vibaraka wao
Ghafla bin vuuupNchi nyingi Africa wana siasa bado wanafight ili waweze kujaza matumbo yao. Angalia wakosoaji wakipewa madaraka wanavyobadilika ghafla.
Ndoa ya jinsia moja ni kitu ambacho sitakuja kukubaliana nacho mpaka siku ninaingia kaburini. Mark my words.Mimi naona kama demokrasia ni mkakati wa mataifa ya magharibi kusimika ajenda zao kwenye mataifa mbali mbali baada ya kuweka vibaraka wao.........ukitazama wanasiasa wanaoungwa mkono na mataifa ya magharibi wanabeba ajenda ambazo hata kwenye jamii za kiafrika ni kituko.......kama ndoa za jinsia moja!!!!
CHADEMA ndio waliotaka kuingia na kuitafuna hii nchiDo African Political Activists sincerely fight for Democratic Change or they simply keep alive a well-known old saying "It's Our Turn to Eat"?
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu wa Tanzania;
Katika msimu wa joto wa mnamo mwaka 2009, aliyekuwa Rais wa Marekani bwana Barack Hussein Obama alisafiri kwenda nchini Ghana, kama kituo chake cha mwisho wa safari yake ya kwanza ya kimataifa kama Rais, na kutoa hotuba yake katika bunge la nchi hiyo katika jiji la Accra. Katika hotuba yake, alijadili uhusiano wa taifa lake na Afrika, na ushirikiano uliohitajika kuhakikisha mabadiliko katika bara zima.
View attachment 1539363
Alipokuwa jijini Accra, Rais alizungumzia juu ya mada (maudhui) nne ambazo alisema ni muhimu kwa mustakabali mwema wa bara hili la Afrika - demokrasia, fursa, afya, na utatuzi wa migogoro kwa njia za amani. Rais Obama alitoa hotuba yake ya kwanza ya sera za USA juu ya bara la Afrika akiwa katika taifa mwenyeji ambalo linanafasi ndogo sana kiuchumi au kisiasa kulinganisha na mataifa yenye nguvu zaidi kama Afrika Kusini na Misri.
View attachment 1539364Hata miongoni mwa watu wa Ghana, uchaguzi wa nchi sahihi kwa Obama umesababisha ukakasi Kwanini aende Ghana? Baadhi ya Wachambuzi wa msauala ya kisiasa walisema mpangilio wa mazignira wenyewe unasaidia kukiri mafanikio ya kisiasa na kidemokrasia ya Ghana. Inaonekana alichagua Ghana kwa alama yake ya kisiasa.
Alifanya ziara yake ya kwanza kwa nchi ambayo imekuwa na mabadiliko ya kidemokrasia ambayo kiongozi wa upinzani bwana John Atta Mills kutoka chama cha National Democratic Congress alishinda dhidi ya a Rais wa wakati huo ndugu John Kufuor wa chama cha New Patriotic Party. Huo ni ujumbe wenye nguvu sana kwa jamii zingine za Kiafrika, na kwa viongozi wengine wa Kiafrika.
View attachment 1539367
HAYA NI MANENO MACHACHE YA RAIS OBAMA ALIPOKUWA ANALIHUTUBIA BUNGE LA GHANA:
================
"Here in Ghana, you show us a face of Africa that is too often overlooked by a world that sees only tragedy or a need for charity. The people of Ghana have worked hard to put democracy on a firmer footing, with repeated peaceful transfers of power even in the wake of closely contested elections."
Ninaomba nisimuongelee ndugu John Atta Mills kwa maana yeye ni marehemu na kwa mila na desturi za kiafrika marehemu huwa hapaswi kusemwa vibaya.
Sasa juzi wakati ninasoma makala kadhaa hapa mtandaoni ndio nikakutana na hii scandal kubwa sana ya Airbus ya Rais John Mahama aliyechukua nafasi ya hayati John Atta Mills ambao wote walitokea chama kimoja cha kisiasa cha National Democratic Congress, ya wizi wa pesa kiasi cha £5million.
View attachment 1538177
Sasa kuanzia hapa nikajawa na maswali mengi sana kuliko majibu kwamba,
Do African Political Activists sincerely fight for Democratic Change or they simply keep alive a well-known old saying "It's Our Turn to Eat"?
NB: Hii mada inalenga katika kuangazia mustakabali mzima wa demokrasia katika bara la Afrika, hivyo ninaomba tuepuke kabisa matusi, mabishano na malumbano ya CCM, CHADEMA, ACT-WAZALENDO, NCCR, CUF.
OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Wanabadilika ghafla kama vinyongaNchi nyingi Africa wana siasa bado wanafight ili waweze kujaza matumbo yao. Angalia wakosoaji wakipewa madaraka wanavyobadilika ghafla.
Ni wa kuogopwa kama ukomaCHADEMA ni watu wabaya sana
HahahaaaaaGhafla bin vuuup
CHADEMA watakuja kukutukana shauri yakoNi wa kuogopwa kama ukoma
Naongezea ".....kama Corona"Ni wa kuogopwa kama ukoma