Kazuri Kadada
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 536
- 435
Wahuni na wezi wa fedha za ruzukuWahuni tu hao CHADEMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahuni na wezi wa fedha za ruzukuWahuni tu hao CHADEMA
Soja tatizo lake anatumia ID zaidi ya mojaUjumbe poa sana huu Soja wangu
Maalim ni mwanasiasa anayejiheshimu sana. Mpinzani makini kweli kweli.Mzee wetu Maalim Seif
UVCCM ndio kila kitu mkuuVijana wa chadema sio wa kuwapa nchi hii
CHADEMA imejaa wajinga wengi sana mkuuchadema walianza kutumiwa na wazungu tangia mwaka 2005
Ufipa team wakae wakijua beberu hana rafiki na akimaliza kuwatumia lazima awamwageHao jamaa wa ufipa ni vibaraka wa mabeberu
Njaa kali ufipaWanabadilika kwa sababu walikuwa wana njaa ila sasa wana pesa. Wanasiasa waroho kama wale wa CHADEMA ni hatari sana kwa afya ya taifa.
Maalim Seif amekufa. Umesikia?Njaa kali ufipa
Walitangaza tangia saa nne asubuhi mkuu. R.I.P SeifMaalim Seif amekufa. Umesikia?
Seif alikuwa mpinzani muungwana sana sio kama LissuWalitangaza tangia saa nne asubuhi mkuu. R.I.P Seif
Seif alikuwa rafiki yangu sana wakati bado yupo CUFSeif alikuwa mpinzani muungwana sana sio kama Lissu
Seif alikuwa mstaarabu kama mzee J.P MagufuliWalitangaza tangia saa nne asubuhi mkuu. R.I.P Seif
ThanksMada tam sana hi
PoaThanks
Njoo CCM mkuuWahuni tu hao CHADEMA
Labda wewe ndiye Soja mwenyewe alafu unajisifiaUjumbe poa sana huu Soja wangu
Seif mpinzani makini amekufaMzee wetu Maalim Seif
Kulingana na maelezo ya waarabu wanasemaje?Kabla ya demokrasia Afrika ilikuwa bara giza kulingana na maelezo ya wazungu