Kisoda James
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 1,114
- 813
Mimi mbona nipo CCM alafu sio mlafiHakuna mwanasiasa asiyetafuta masilahi binafsi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mbona nipo CCM alafu sio mlafiHakuna mwanasiasa asiyetafuta masilahi binafsi.
Naomba uje PM pleaseUmefafanua poa sana
Pale Ufipa ni kichaka cha matapeli wa siasa tu mkuuAlafu wahuni wengi wamejaa CHADEMA
Umewasahau ACT ya ZittoPale Ufipa ni kichaka cha matapeli wa siasa tu mkuu
Tafuta pesa kwanza babyNaomba uje PM please
CCM chama la wanaMimi mbona nipo CCM alafu sio mlafi
Njoo nikupe kadiCCM chama la wana
Kama amekupenda mpe mzigo alafu pesa baadae hahahahaaaaTafuta pesa kwanza baby
ACT ni genge lingine la wahuni baada ya CHADEMAUmewasahau ACT ya Zitto
Umewasahau pia NCCR MageuziACT ni genge lingine la wahuni baada ya CHADEMA
Kamwe siwezi kuwa na ID zaidi ya moja humu JFLabda wewe ndiye Soja mwenyewe alafu unajisifia
Kwani anajiuza huyo siku hizi?Kama amekupenda mpe mzigo alafu pesa baadae hahahahaaaa
Mimi pia nije?Njoo nikupe kadi
Karibu UWTCCM chama la wana
Mbona anaonekana kama sura yake inafanana na pesaTafuta pesa kwanza baby
Sura za kufanana na pesa ndio zipoje wee dada? Embu acha uongo.Mbona anaonekana kama sura yake inafanana na pesa
Sura za pesa kama Ray KigosiSura za kufanana na pesa ndio zipoje wee dada? Embu acha uongo.
Vp sura ya Mbowe na Lissu?Sura za pesa kama Ray Kigosi
Kama yeye ni muongo, ukweli upo wapi mzee?Sura za kufanana na pesa ndio zipoje wee dada? Embu acha uongo.
Sura mbaya kama ile itafanana vp na pesa wee dada? Kuwa serious basi sometimesMbona anaonekana kama sura yake inafanana na pesa