Je, wanaodai katiba mpya hawaoni kero ya umeme na maji kwa wananchi?

Je, wanaodai katiba mpya hawaoni kero ya umeme na maji kwa wananchi?

Uwajibikaji unakuja na usimamizi mzuri hata katiba ya sasa ina misingi yote labda kilichokosekana ni usimamizi mzuri. Mfumo(katiba) na usimamizi( mtu) vinatakiwa viende sambamba
Usimamizi mzuri unachipukia kwenye misingi imara ya Katiba Bora!
Bila Katiba Bora usimamizi unakosekana! Na mwisho tunakuwa na taifa ambalo kila mtu anasubiria maamuzi ya mtu mmoja (Rais)!
 
Vivyo hivyo kama maji yanaweza kupatikan bila katiba mpya kwa nini inaliliwa? Shtuka
ww eleza katiba mpya ina athiri vp maji na umeme?
mm nishtuke kitu gani hali ya kua umekiri kwamba katiba mpya inaumuhimu?
 
Nina umeme na maji ya DAWASA nyumbani kwangu, acha kuandika kama bata.
Umekua low sana, mfano unapoona viongozi kila siku wanapambana kuondoa umaskini unahisi watu wote ni maskini hapa nchini?
Issue ni Percentage kubwa inaaangukia wapi. Juzi mama Samia alikua anazindua mradi mkubwa wa maji chalinze, Ila angekua na akili Kama yako kuwa yeye maji anayo basi hata huo mradi usingekuwepo.
Ww kuwa na Maji na umeme haimaanishi wote wanapata hizo huduma.
Kwa takwimu zilizopo sasa 40% hawana huduma ya maji Safi na salama.
Pia kuna percent kubwa ya watanzania bado hawana umeme.
 
mkuu mm naomba nisaidie kuelewa katiba mpya, inaathiri vp maendeleo kiadi kwamba tutafute kwanza maendeleo tukiyapata ndo tupate katiba mpya
 
Ningekuwa ni mpinzani wa kweli ningesema kweli daima kwamba wananchi hawahitaji katiba mpya sasa zaidi ya wanavyohitaji maji, umeme na huduma bora za afya na elimu.

Nikiwa kama mpigakura sihitaji mgombea anipe ahadi ya katiba mpya sasa, nitahitaji aniambie ni namna gani atapambana na hali yangu ya ukosefu wa ajira, nitahitaji aniambie ni fursa zipi nitazipata kutokana na bomba la mafuta au mradi wa gesi ya mtwara.

Umefika wakati muafaka wanasiasa kuangalia vipaumbele vya wananchi wao kuliko matumbo yao. Katiba mpya ni muhimu lakini sio sasa ambapo nchi inahitaji kujenga uchumi ulioathiriwa na Corona. Nchi inahitaji kutatua tatizo la ajira.

Licha ya mengi wananchi wanayopitia, Je suala la katiba mpya sasa si ni dhihaka? Kwa sasa hekima ya hali ya juu inahitajika hususani kwa mambo yanayohusu maisha ya watu ambayo hata wanaodai katiba mpya hawawezi kusema katiba mpya ni miongoni kama wakihitajika kufanya hivyo

Katiba iliyopo haiwawajibishi hao watoa ahadi baada ya kuchaguliwa.
Tunataka katiba isiyowaogopa wachaguliwa ila kutoa mwanya kuwaadhibu wanaposhindwa kutimiza wajibu
 
ww eleza katiba mpya ina athiri vp maji na umeme?
mm nishtuke kitu gani hali ya kua umekiri kwamba katiba mpya inaumuhimu?
Mpaka nihakikishiwe katiba mpya itampelekea bibi yangu maji na umeme hapo nitaungana na Mbowe na Lissu lakini kama katiba mpya inatafutwa kwa lengo la kufuta machungu ya uchaguzi mkuu wa 2020 sikubaliani nao.

Unatakiwa ushtuke katiba mpya inadaiwa na ambao si wao tu bali hata ndugu zao wanaona maji na umeme sio tatizo
 
mkuu ww ni mtanzania na mm ni mtanzania.

umesema katiba mpya inatafutwa kwa lengo la kufuta machungu ya uchaguzi mkuu 2020

emu fafanua kwanza apa.

swali la nyongeza katiba mpya si ya lissu wala mbowe ni ya watanzania maana hata hii yasasa wote inatuhusu uwe na chama ama la
 
Kuna wizara ya sheria na katiba. Ina bajeti yake kila mwaka

Kuna wizara ya kuna wizara ya maji ina bajeti yake.

Jiulize kwa nini wizara ya sheria na katiba ipo.
 
Kuna wizara ya sheria na katiba. Ina bajeti yake kila mwaka

Kuna wizara ya kuna wizara ya maji ina bajeti yake.

Jiulize kwa nini wizara ya sheria na katiba ipo.
Hawa ndio wale utawasikia wanakula bata kumbe wao ndio mabata.
 
Katiba mpya haizuii kupatiwa maji, umeme , barabara, shule, hospitali ......
bali itaongeza uhakika wa kupatiwa zaidi.
Ujinga wa wananchi na viongozi wadanganyifu huchanganya mambo haya.
Kutunga katiba hakusimamishi shughuli za siku kwa siku za maendeleo katika nchi.
 
Kuna wizara ya sheria na katiba. Ina bajeti yake kila mwaka

Kuna wizara ya kuna wizara ya maji ina bajeti yake.

Jiulize kwa nini wizara ya sheria na katiba ipo.

Siasa na Huduma za Jamii tofauti.
Kama ndio hivyo kwa nini inafanywa siasa kweñye maisha ya watu? Toka ningali mdogo mpaka sasa sijawahi kuambiwa katiba mpya ni hitaji la msingi la watu
 
Matatizo wanayo...
Ila ndiyo wale binadamu wa siku hizi ambao ni wabishi sana...
 
Back
Top Bottom