hmaloh JF-Expert Member Joined Nov 22, 2018 Posts 373 Reaction score 554 Apr 14, 2025 #1 Kuna kitu naomba kuuliza ndugu zangu wana-jf hivi selo wanazokaa wanasiasa zinafanana na sisi tusiokuwa wakawaida?
Kuna kitu naomba kuuliza ndugu zangu wana-jf hivi selo wanazokaa wanasiasa zinafanana na sisi tusiokuwa wakawaida?
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Apr 14, 2025 #2 Wanasema zipo VIP selo. huenda huko hakuna mbu, chawa na kunguni na misosi yao ni bora
The Coin Man JF-Expert Member Joined Jan 2, 2025 Posts 1,471 Reaction score 1,879 Apr 14, 2025 #3 hmaloh said: Kuna kitu naomba kuuliza ndugu zangu wana-jf hivi selo wanazokaa wanasiasa zinafanana na sisi tusiokuwa wakawaida? Click to expand... Apo Kwa bold 👆Ungewa-tag hao mnaokaa nao mkuu ingekuwa afadhali.Acha kutushirikisha Kwa matatizo yako ya uwelewa😸😸😸
hmaloh said: Kuna kitu naomba kuuliza ndugu zangu wana-jf hivi selo wanazokaa wanasiasa zinafanana na sisi tusiokuwa wakawaida? Click to expand... Apo Kwa bold 👆Ungewa-tag hao mnaokaa nao mkuu ingekuwa afadhali.Acha kutushirikisha Kwa matatizo yako ya uwelewa😸😸😸