Je wanasiasa huwa wanakaa selo kama tunazokaa sisi?

hmaloh

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
373
Reaction score
554
Kuna kitu naomba kuuliza ndugu zangu wana-jf hivi selo wanazokaa wanasiasa zinafanana na sisi tusiokuwa wakawaida?
 
Kuna kitu naomba kuuliza ndugu zangu wana-jf hivi selo wanazokaa wanasiasa zinafanana na sisi tusiokuwa wakawaida?
Apo Kwa bold 👆Ungewa-tag hao mnaokaa nao mkuu ingekuwa afadhali.Acha kutushirikisha Kwa matatizo yako ya uwelewa😸😸😸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…