Je wanasiasa serikalini ni vilaza kuliko zamani?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Kuna hisia kwenye jamii kutokana ma matukio ambayo yamekosa mwelekeo. Ukilaza haina maana hawajasoma lakini je wanafanya mambo kwa kufiria manufaa ya taifa. Je tuna wakina Makinda, mongella , warioba, salim, Msuya, Nyalali...... hata kwenye majeshi Mahundi. Je tunawatu bado wenye vipaji vikubwa vya uongozi kama zamani au ni kujuana juana. Siku hizi hizi elimu zinanunuliwa lakini matokeo nchi imekuwa ya ajabu ajabu kidiplomasia, kiuchumi na hata kiulinzi
 
Si kwamba ni vilaza, ila akili zimewekwa pembeni.
Kuna mseme huwa unasema “never underestimate power of stupid peoples in large group”
 
Kuna hisia kwenye jamii kutokana ma matukio ambayo yamekosa mwelekeo. Ukilaza haina maana hawajasoma lakini je wanafanya mambo kwa kufiria manufaa ya taifa. Je tuna wakina Makinda, mongella , warioba, salim, Msuya, Nyalali...... hata kwenye majeshi Mahundi. Je tunawatu bado wenye vipaji vikubwa vya uongozi kama zamani au ni kujuana juana. Siku hizi hizi elimu zinanunuliwa lakini matokeo nchi imekuwa ya ajabu ajabu kidiplomasia, kiuchumi na hata kiulinzi
Siku hizi hakuna kitu.
 
Back
Top Bottom