Je, wanaSimba mnasemaje Baada kufutwa kwa kadi nyekundu?

Je, wanaSimba mnasemaje Baada kufutwa kwa kadi nyekundu?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kama Kamati ya Saa 72 Imesema Ile kadi Nyekundu Ilikuwa Batili Unadhani Mwamuzi Alikuwa na Maana Gani Kutoa Kadi Nyekundu [emoji3480]

Maana makolo walibisha kuhusu kubwa na marefa
1740296594210.jpg
 
Wenzetu waliotangulia kadi inafutwa pale pale uwanjani na VAR..huku bara la giza sio ajabu kama refa alifanya kosa la kibinadamu...ajabu kubwa ni singida kununua wachezaji na kuwapa yanga!
Lakini waliotangulia pia wanafungia marefa wakifanya makosa kama hayo yule refa alietoa kadi kimakosa ya Bellingham akidhani katukanwa alifungiwa..
 
Ambayo inamaanisha Nini Kwa wasiosoma?? Kama kina
Kalpana
Scars
Isanga family

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Yule ndio refa alimaliza mpira huku Simba ikiwa inashambuliwa wapigwe goli la tatu na Coastal kama unakumbuka baadae akaanza kucheka tu akiulizwa alichokifanya maana ziliongezwa dakika wakiamini Simba ataongeza goli baadae wakawa wanashambuliwa wao na refa wao walimaliza mpira kabla ya muda.
 
Wenzetu waliotangulia kadi inafutwa pale pale uwanjani na VAR..huku bara la giza sio ajabu kama refa alifanya kosa la kibinadamu...ajabu kubwa ni singida kununua wachezaji na kuwapa yanga!
Makosa ya kibinadamu uwa yanajitokeza kwa Simba tu mara zote sio,,kwanini yasitokee na kwa timu nyingine?
 
Lakini waliotangulia pia wanafungia marefa wakifanya makosa kama hayo yule refa alietoa kadi kimakosa ya Bellingham akidhani katukanwa alifungiwa..
Unamdanganya nani? Weka hio habar hapa ya refa huyo wa Spain aliechezesha hio mechi kufungiwa. ..na kudhibitisha habar yako kua hio kadi nyekundu ilikua kimakosa ...
 
Back
Top Bottom