Je, wanaSimba mnasemaje Baada kufutwa kwa kadi nyekundu?

Je, wanaSimba mnasemaje Baada kufutwa kwa kadi nyekundu?

Unamdanganya nani? Weka hio habar hapa ya refa huyo wa Spain aliechezesha hio mechi kufungiwa. ..na kudhibitisha habar yako kua hio kadi nyekundu ilikua kimakosa ...
Kosa la kumtukana Ref Spain ni kifungo zaidi ya mechi 12 na fine juu ila kapewa mechi mbili tu na Ref kachunguzwa nje ya field imegundulika hana interest yeyote kwenye maamuzi yale.
 
Yule ndio refa alimaliza mpira huku Simba ikiwa inashambuliwa wapigwe goli la tatu na Coastal kama unakumbuka baadae akaanza kucheka tu akiulizwa alichokifanya maana ziliongezwa dakika wakiamini Simba ataongeza goli baadae wakawa wanashambuliwa wao na refa wao walimaliza mpira kabla ya muda.
UPOTOSHAJI ALERT:
1000054464.jpg
 
Chama cha marefa tanzania, kiwaonye wanachama wao, ili wajirekebishe ni aibu kwa mpira wa tanzania.
 
Kama Kamati ya Saa 72 Imesema Ile kadi Nyekundu Ilikuwa Batili Unadhani Mwamuzi Alikuwa na Maana Gani Kutoa Kadi Nyekundu [emoji3480]

Maana makolo walibisha kuhusu kubwa na marefaView attachment 3246240

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wanacho shukuru muamala wao umeenda kihalali halafu mwamba huyu huyu alimaliza mechi Coastal wakiwa wanalitafuta goli la tatu kwenye box lao. So jamaa anaitendea haki miamala anayopewa hawaangushi Kolo FC.
 
Yule ndio refa alimaliza mpira huku Simba ikiwa inashambuliwa wapigwe goli la tatu na Coastal kama unakumbuka baadae akaanza kucheka tu akiulizwa alichokifanya maana ziliongezwa dakika wakiamini Simba ataongeza goli baadae wakawa wanashambuliwa wao na refa wao walimaliza mpira kabla ya muda.
Ndo hivyo lzma aliwe ban

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Makosa ya kibinadamu uwa yanajitokeza kwa Simba tu mara zote sio,,kwanini yasitokee na kwa timu nyingine?
Sema unahesabu makosa ya Simba, Mayombya na lameck lawi waliopewa red card zikaja kufutwa dhidi ya Yanga, kuwa mvumilivu soka letu kivyetuvyetu
 
Makosa ya kibinadamu uwa yanajitokeza kwa Simba tu mara zote sio,,kwanini yasitokee na kwa timu nyingine?
Wanao tafsiri makosa ya kibinadamu wanauwezo wa kutafsiri makosa ya kibinadamu kwenye michezo ya simba tu, kikikiki
 
Mchezaji wa Namungo kapewa red card kabla timu yake kufungwa (0-0), baada ya red card timu ikabaki na wachezaji pungufu na kufungwa magoli 3. Maana yake Kuna uhusiano kati ya red card na timu kufungwa.

Kama kadi imefutwa kwanini mchezo usirudiwe (ufutwe)? Kwanini magoli na points zibakie vile vile? Funzo litakuwa nini?
 
Back
Top Bottom