Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Wanao tafsiri hizo sheria wanaakili za kutafsiri red card tu na sio matokeo, hasi ama chanya ya red card, kikikikiMchezaji wa Namungo kapewa red card kabla timu yake kufungwa (0-0), baada ya red card timu ikabaki na wachezaji pungufu na kufungwa magoli 3. Maana yake Kuna uhusiano kati ya red card na timu kufungwa.
Kama kadi imefutwa kwanini mchezo usirudiwe (ufutwe)? Kwanini magoli na points zibakie vile vile? Funzo litakuwa nini?