Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Kosa la kumtukana Ref Spain ni kifungo zaidi ya mechi 12 na fine juu ila kapewa mechi mbili tu na Ref kachunguzwa nje ya field imegundulika hana interest yeyote kwenye maamuzi yale.Unamdanganya nani? Weka hio habar hapa ya refa huyo wa Spain aliechezesha hio mechi kufungiwa. ..na kudhibitisha habar yako kua hio kadi nyekundu ilikua kimakosa ...
Ukishafungwa jela ukamaliza kifungo halafu ukaonekana hukuwa na hatia hapo umesafisha jina tuu.Kihasibu sijui itakuwa imekaaje?!
UPOTOSHAJI ALERT:Yule ndio refa alimaliza mpira huku Simba ikiwa inashambuliwa wapigwe goli la tatu na Coastal kama unakumbuka baadae akaanza kucheka tu akiulizwa alichokifanya maana ziliongezwa dakika wakiamini Simba ataongeza goli baadae wakawa wanashambuliwa wao na refa wao walimaliza mpira kabla ya muda.
Wanacho shukuru muamala wao umeenda kihalali halafu mwamba huyu huyu alimaliza mechi Coastal wakiwa wanalitafuta goli la tatu kwenye box lao. So jamaa anaitendea haki miamala anayopewa hawaangushi Kolo FC.Kama Kamati ya Saa 72 Imesema Ile kadi Nyekundu Ilikuwa Batili Unadhani Mwamuzi Alikuwa na Maana Gani Kutoa Kadi Nyekundu [emoji3480]
Maana makolo walibisha kuhusu kubwa na marefaView attachment 3246240
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Waporwe point 2,wapewe 1 na Namungo wapewe moja kwani walihujumiwa na mwamuzi mchezo ule.Kama Kamati ya Saa 72 Imesema Ile kadi Nyekundu Ilikuwa Batili Unadhani Mwamuzi Alikuwa na Maana Gani Kutoa Kadi Nyekundu [emoji3480]
Maana makolo walibisha kuhusu kubwa na marefaView attachment 3246240
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mambo ya ajabuWenzetu waliotangulia kadi inafutwa pale pale uwanjani na VAR..huku bara la giza sio ajabu kama refa alifanya kosa la kibinadamu...ajabu kubwa ni singida kununua wachezaji na kuwapa yanga!
Points za utapeli lknPoint 3 na clean sheet juu.
Ndo hivyo lzma aliwe banYule ndio refa alimaliza mpira huku Simba ikiwa inashambuliwa wapigwe goli la tatu na Coastal kama unakumbuka baadae akaanza kucheka tu akiulizwa alichokifanya maana ziliongezwa dakika wakiamini Simba ataongeza goli baadae wakawa wanashambuliwa wao na refa wao walimaliza mpira kabla ya muda.
Points za utapeli lknHizo sio shida zetu nyie Utopwolo...watajijua wenyewe..sisi tunaangalia point 3..
Mach 8 ....kiganjaNyie jinyongeni..
Ubaya ubwela umefikia patamu..bado mechi moja
Labda wamenizi umaskin.....make mi ndo tajir zaidUliowataja wote hapo wamekuzidi mpaka maisha achilia mbali elimu...
Kabisa mkuuChama cha marefa tanzania, kiwaonye wanachama wao, ili wajirekebishe ni aibu kwa mpira wa tanzania.
Ngoja tulipambanie hiliWaporwe point 2,wapewe 1 na Namungo wapewe moja kwani walihujumiwa na mwamuzi mchezo ule.
Refa ni kolo familyKama Kamati ya Saa 72 Imesema Ile kadi Nyekundu Ilikuwa Batili Unadhani Mwamuzi Alikuwa na Maana Gani Kutoa Kadi Nyekundu [emoji3480]
Maana makolo walibisha kuhusu kubwa na marefaView attachment 3246240
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sema unahesabu makosa ya Simba, Mayombya na lameck lawi waliopewa red card zikaja kufutwa dhidi ya Yanga, kuwa mvumilivu soka letu kivyetuvyetuMakosa ya kibinadamu uwa yanajitokeza kwa Simba tu mara zote sio,,kwanini yasitokee na kwa timu nyingine?
Wanao tafsiri makosa ya kibinadamu wanauwezo wa kutafsiri makosa ya kibinadamu kwenye michezo ya simba tu, kikikikiMakosa ya kibinadamu uwa yanajitokeza kwa Simba tu mara zote sio,,kwanini yasitokee na kwa timu nyingine?