Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Wanao tafsiri hizo sheria wanaakili za kutafsiri red card tu na sio matokeo, hasi ama chanya ya red card, kikikikiMchezaji wa Namungo kapewa red card kabla timu yake kufungwa (0-0), baada ya red card timu ikabaki na wachezaji pungufu na kufungwa magoli 3. Maana yake Kuna uhusiano kati ya red card na timu kufungwa.
Kama kadi imefutwa kwanini mchezo usirudiwe (ufutwe)? Kwanini magoli na points zibakie vile vile? Funzo litakuwa nini?
Tajiri wa machapisho jukwaani yasiyo na tija...Labda wamenizi umaskin.....make mi ndo tajir zaid
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sahihi mkuuMchezaji wa Namungo kapewa red card kabla timu yake kufungwa (0-0), baada ya red card timu ikabaki na wachezaji pungufu na kufungwa magoli 3. Maana yake Kuna uhusiano kati ya red card na timu kufungwa.
Kama kadi imefutwa kwanini mchezo usirudiwe (ufutwe)? Kwanini magoli na points zibakie vile vile? Funzo litakuwa nini?
Ni mjinga tu ataamini Simba watabeba ubingwaUto mna matumaini hewa ya ubingwa
Hapana mkuu... fanya tour...unitembelee ujionee.....I will sponsor everythingTajiri wa machapisho jukwaani yasiyo na tija...
HahaaaUliza, mwamuzi anasemaneje maana yeye ndio aliyempa mchezaji wa Namungo, hivi mashabiki wa Simba sc walikuwa watazamaji/wasikizaji siku ya mechi.