Je, Wanasimba tuendelee kufurahia ushindi wa mbeleko?

Wewe kenge ukawa lini shabiki wa Simba?.Maka*io yako.

Unaenda kusikiliza wachambuzi uchwara ndiyo unakuja kupost humu.

Simba ilibebwa kwa lipi.
 
Mwenyekiti wa kamati ya waamuzi mapinduzi cup akiwa anahojiwa na vyombo vya habari anasema, Baada ya mechi ya Simba vs Singida kumalizika Kamati walijaribu kupitia marejeo ya tukio la Kona ya utata iliyo zaa goli na walibaini haikustahili kuwa Kona.
Kilichotokea ni makosa ya kibinadamu.
 
Umesahau dkk 9 za juzi kwenue eee...
Tuliza wenge kijana...
Huu muda kula vzr lala vizuri uweke energy ya kumshabikia mnyama kesho akipokea milioni 100 zake..
Kwenye 100m .....refa apewe 40m
 
Refa alikubeba na ww kwny mashindano hay haya...mkubwa lazima aheshimiwe..sisi ni wakubwa..lazima tuheshimiwe kuanzia na nyasi za kiwanja...
In long run tunaua timu
 
Wewe kenge ukawa lini shabiki wa Simba?.Maka*io yako.

Unaenda kusikiliza wachambuzi uchwara ndiyo unakuja kupost humu.

Simba ilibebwa kwa lipi.
Kungezwa muda ambao hakuwepo kwenye mpango
 
Makolo hawaelewi
 
Mjukuu wa mzee mpili mbona una shobo sana?😄😄😄

Tulia na club yako inayomiliki ufukwe wa msimu wa masika🤣
 
Mjukuu wa mzee mpili mbona una shobo sana?[emoji1][emoji1][emoji1]

Tulia na club yako inayomiliki ufukwe wa msimu wa masika[emoji1787]
Simba ni yetu....ila lazima tuseme ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…