This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Wewe kenge ukawa lini shabiki wa Simba?.Maka*io yako.Mimi kama mdau wa soka na shabiki ndaki ndaki wa Simba (makolo in prular form) natumia pale makolo wenzangu wanapofurahia ushindi wa kubebwa na refa.
Tunazidi kuiharibu timu yetu .. imagine Jana tumeingiza Hadi nyota wa kimataifa, wachezaji wenye mvi, bado tukabebwa na refa lakini bado tume hustle kushinda.
NB: Bora hata wenzetu Yanga walipeleka kikosi C & D na mwakani naskia kwenye mapinduzi Yanga watapeleka Yanga princess.
Unaenda kusikiliza wachambuzi uchwara ndiyo unakuja kupost humu.
Simba ilibebwa kwa lipi.