Je, Wanasimba tuendelee kufurahia ushindi wa mbeleko?

Je, Wanasimba tuendelee kufurahia ushindi wa mbeleko?

Mimi kama mdau wa soka na shabiki ndaki ndaki wa Simba (makolo in prular form) natumia pale makolo wenzangu wanapofurahia ushindi wa kubebwa na refa.

Tunazidi kuiharibu timu yetu .. imagine Jana tumeingiza Hadi nyota wa kimataifa, wachezaji wenye mvi, bado tukabebwa na refa lakini bado tume hustle kushinda.

NB: Bora hata wenzetu Yanga walipeleka kikosi C & D na mwakani naskia kwenye mapinduzi Yanga watapeleka Yanga princess.
Yes, endeleeni kujilazimisha furaha ingawa moyoni mna majonzi 🐒
 
Labani og huu muda unapata jaka moyo ni bora unywe maziwa na karanga ujenge afya...maana toka jana saa 4 na dkk 45 uzito wako umeshuka tremendously.....
 
Jana hasira zote ....nmehamishia Kwa mama Ako mdogo....nmemchakata usiku mzima[emoji23]
Laban weeee nitake radhi sema umemchakata mdg wangu..
Yani ww una umri wa kumchakata kweli ma mdg wangu... 😂
 
Back
Top Bottom