Je, Wanaume mnapendelea 50/50 Au kutekeleza majukumu yako yote?

100% ni kama mke ni housewife na hana income, lakini kama wote tuna clock in and out, inabidi tushare bills!
 
Kama kidume lazima nitekeleze majukumu yangu yote katika hali yoyote ile.




Alisikika kijana mmoja😂
 
Mimi vyovyote sawa, au kama anachanganya ufeminism na ukienyeji kidogo, pia sawa

Kwanza unaweza kubisha kila mtu siku hizi ni feminist. Wanawake wanasoma, wanaongoza, wanamiliki mali na hakuna anaepinga....

Feminism imekubalika kwenye nyanja zote kasoro mahusiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…