Je, Wanaume mnapendelea 50/50 Au kutekeleza majukumu yako yote?

Je, Wanaume mnapendelea 50/50 Au kutekeleza majukumu yako yote?

Hata tukisema tunataka 50/50 utatusaidia nini dear? Mfumo wenyewe ni wakumuua mwanaume kwa stress
 
Ilo swali ni la kuulizwa wanawake, nyie ndio mmeshindwa kufanya chaguo moja for once and for all mmebaki kuji-position kulingana na hali zenu kiuchumi. Mkijimudu kiuchumi mnataka 50/50 mnakua wajeuri, ferminists. Mkiwa broke mnataka mfumo dume mmuhudumiwe kila kitu na mwanaume.
 
Back
Top Bottom