Ilo swali ni la kuulizwa wanawake, nyie ndio mmeshindwa kufanya chaguo moja for once and for all mmebaki kuji-position kulingana na hali zenu kiuchumi. Mkijimudu kiuchumi mnataka 50/50 mnakua wajeuri, ferminists. Mkiwa broke mnataka mfumo dume mmuhudumiwe kila kitu na mwanaume.