ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,656
Watakuwa wanawake wa kichagga hao!!!!
Subiri wenyewe wanakuja, mie nshakoma!
Watakuwa wanawake wa kichagga hao!!!!
Khaaaa!wanawake wakichagga ndio hawafi????!Watakuwa wanawake wa kichagga hao!!!!
Khaaaa!wanawake wakichagga ndio hawafi????!
Una uhakika na ulisemalo au unahisi??
anamaanisha wanawake wa kichaga wanaua wanaume wao ili warithi mali,mi ni mchaga na hiyo ni moja ya vitu ambavyo vipo ndani ya uwezo wangu
Lakini baada ya wanawake nao kuingia kwenye changamoto za wanaume nao wamejiingiza kwenye hatari hii na hali itabadilika na kuwa 50/50 soon!
Nakubaliana na wewe kwa hilo la kimfumo, lakini kwa upande wa wanawake kujiingiza kwenye changamoto za wanaume naweza kutofautiana na wewe kidogo. Kwa mfano, wakati wanaume wanatumia msuli na hata kuhatarisha maisha katika kutambulika, na hasa kutambuliwa na wanawake bila shaka, kwa upande wa wanawake wao hawahitaji sana kutumia msuli wala kuhatarisha maisha yao, ulimbwende walio nao na mbinu za kimkakati za kuwanasa wanaume wenye nazo huwasaidia sana kufikia malengo yao. Kwa mwanamke wao huathiriwa na vita ya wao kwa wao katika kuwanasa wanaume wenye nazo, na labda niseme tu kwamba vita hiyo haiko kwa kiwango kikubwa kama ile ya wanaume katika kutafuta kutambuliwa.................Ni kweli lakini haya ni matatizo ya kimfumo zaidi!Mfumo wa maisha ulimfanya mwanaume awe kiongozi kila mahali hivyo alikutana na changamoto nyingi na kumsababishia matatizo.Mfano kuna wanaume mpaka leo akipitwa na mwanamke anaendesha gari na yeye hana akili yake inapata kifaduro ghafla na anaojiona kama takataka kwa mwanamke kuwa na gari halafu yeye hana.Lakini baada ya wanawake nao kuingia kwenye changamoto za wanaume nao wamejiingiza kwenye hatari hii na hali itabadilika na kuwa 50/50 soon!