fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,919
Hilo ni kweli be mbwembwe.
Ulichosahau ukirud nyumban umechoka na bado unafanya kaz nyingine ngumu sana ukiamka asubuh umechoka Mara dufu.
Ulichosahau ukirud nyumban umechoka na bado unafanya kaz nyingine ngumu sana ukiamka asubuh umechoka Mara dufu.
ni kweli kabisa , wanawake ukaa mda mrefu sabau wanajali san afya zao ila sisi madume twajifanya tumeumbwa kwa mateso , na ujuwaji mwingi sana kwenye maisha , kama vile kutowashirikisha wake zetu kutokana na matatizo yetu tunayoyapata either kazini or mtaani ndio maana tunakuwa na majukumu yanayoshinda uwezo wetu wa kufikili.