Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Huo utafiti umeufanyia wapi.? sababu wanaume zako wanasifa hizo unaona ndio wote
 
Umeandika sababu 5, mimi nasubili uandike na hiyo sababu ya sita huenda ukawa umepatia, ila kwa hizo tano bado umepapasa tu, upo gizani.
 
Nasubiri ya sits ndio nichangie na mimi?
 
Lile kabila ni hatariiii mkuu, wenyewe wanaogopana
Lakini si umeona sababu zinazowarestisha? Mtaendelea kurest tu msipobadilika lile kabila nimegundua wala halihusiki
 
Sababu 2 nakubalana nazo, kufunguka na dawa. Katika mahusiano yangu. Wote walikuwa hivi
 
Kesho lolote Lina wanaume wengi kuliko wanawake na vita ikitokea, wanakwenda sana
 
Halafu wanasingizia lile kabila pendwa kuwa wanawake ndo wanawarestisha, kama sababu ndo hizo na warest tuu in peace tutawakuta huko maana hamna namna
Wewe utakuwa naniii kabisa
 
NDO MAANA MIMI NAJALI ZAIDI FURAHA YANGU.....SITAKI NIIWEKE KWENYE MIKONO YA MTU MWINGINE.....UKINIZINGUA TU KWAHERI
 
Wanaume wanakufa kwa stress. ..tazama.

Mtu akishaoa tu anabadilika. ..jibu ni stress wengine waita stress(majukumu)

Lazima Mtu apoteze haraka.
 
Lakini si umeona sababu zinazowarestisha? Mtaendelea kurest tu msipobadilika lile kabila nimegundua wala halihusiki
Nadhani hizi sababu haziwahusu wanaume wanaooa lile kabila, by the way nawe ni kabila pendwa?
 
Hayo mambo ya genetics ndo yanamfanya me ambaye ni XY kufa mapema kuliko ke ambae ni XX
 
Nadhani hizi sababu haziwahusu wanaume wanaooa lile kabila, by the way nawe ni kabila pendwa?
Kwa nini haziwahusu, au na wao sio wanaume? Usijali mie sio kabila pendwa
 
Tabia hizo ni za wanaume wa kwenu na msipobadirika huko kwenu mtaenda kukodi wanaume wa kuwapanda dada zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…