Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,366
- 161,495
Hizo sababu hazikwepeki mkuu, lakini natamani mmoja aliyeoa kabila pendwa akarest arudi atoe huu utata jamaniiiiKwa sababu wao hata kama hizo sababu hawana, lazima watangulie tuu
Hizo sababu hazikwepeki mkuu, lakini natamani mmoja aliyeoa kabila pendwa akarest arudi atoe huu utata jamaniiiiKwa sababu wao hata kama hizo sababu hawana, lazima watangulie tuu
Pamoja na haya yote uliyoharaa , me nafurahia kuwa mwana - wa-uumeUtakubaliana na mimi kwamba wanaume wengi walioko kwenye ndoa wanakufa mapema na kuwaacha wake zao, ingawa swali linabaki kuwa ni kwanini?
Zifuatazo ni sababu 6 za wanaume wengi walioko kwenye ndoa kufa mapema na kuwaacha wake zao.
1. Ugumu katika kufunguka.
Utakubaliana na mimi kwamba wanaume ni wagumu sana ten asana kufunguka na kushirikisha mambo yao, wao wako tayari wafe na tai shingoni wakijifanya hawaumii au hawasikii shida. Mkiwa na ishu kwenye ndo mkaitwa sehemu muyaongee yeye kamwe hamumpati, anakwambia
mambo yetu tutasuluhisha wenyewe wakati ndani yanamla na kummaliza.
2. Ugumu katika kusamehe.
Kusamehe sio tu kwa faida ya anayesamehewa bali pia kwa afya yaw ewe unayesamehe. Mzigo unaotokana na kusamehe hutuumiza sana mioyo yetu, hata kama mara nyingine tunajifanya hatuna shida yeyote.
Unaposamehe unaachilia mzigo mkubwa, wanaume wao ni wagumu sana kusamehe. Wako tayari wakubebe moyoni miaka, na tena watakukumbusha uchungu wao kila wanapokuona. Hii inawala sana bila wao kujua.
3. Tabia hatarishi.
Wanaume wengi kwenye ndoa ndio wanaoongoza kushiriki tabia hatarishi kama vile ulevi, anasa, ngono holela na hii huwaweka karibu zaidi na jeneza kuliko wake zao
waliowaacha nyumbani wakiwadanganya kuwa wako mkutanoni mkoani.
4. Ugumu katika kujali afya.
Ni rahisi sana mwanaume akajisikia vibaya lakini asiende hospitalini kuangalia afya, hata pale anapohimizwa kwenda bado anaweza kukwepa au kubisha au hata kusema kuwa ameshakwenda au ameshakunywa dawa kumbe mwongo.
Wako pia ambao wanaweza kupewa dawa na wasizitumie.
5. Msongo wa mawazo.
Wanaume ndio wabebaji wakubwa wa shehena za msongo wa mawazo “stress” ingawa kwa nje wanajitahidi sana kuonyesha kuwa mambo yako shwari wakati wanatafunwa ndani. Kaulize hospitalini, wanaokufa kwa presha ya kupanda au ya kushuka, stroke, kusimama kwa
moyo, kupasuka kwa mishipa ya damu, matatizo ya mifupa, au kuumwa sana kichwa, halafu uliza ni jinsia gani.
Kuwa open, roho safi and less agressive
Hahaha mkuu sasa kama amerest atakuja kutoa vip huu utata?? By the way watu kibao washatoa shuhuda humu, wengine kaka zao walirest etcHizo sababu hazikwepeki mkuu, lakini natamani mmoja aliyeoa kabila pendwa akarest arudi atoe huu utata jamaniiii
Hii mada mi nimeisoma ktk saikolojia.com. Sijui kwanini haja acknowledge source?!Utafiti wako umechukua muda gan
Yaani hamna anaeujua ukweli zaidi ya hao waliorest, anyway tuyaache ya kabila pendwa tusijejiongezea laana ingine maana kila jinsia ina laana yakeHahaha mkuu sasa kama amerest atakuja kutoa vip huu utata?? By the way watu kibao washatoa shuhuda humu, wengine kaka zao walirest etc
Very trueYaani hamna anaeujua ukweli zaidi ya hao waliorest, anyway tuyaache ya kabila pendwa tusijejiongezea laana ingine maana kila jinsia ina laana yake
[emoji120]Very true
Amesahau moja, hiyo mada ilichapishwa kwenye saikolojia.com Oktoba 3,2016 hiyo namba tano ndio ilikuwa namba sita. Namba tano kairuka.Umesama sababu 6, naona 5 tu
sijakuelewaNasubiri ya sits ndio nichangie na mimi?
uh huhUmeandika sababu 5, mimi nasubili uandike na hiyo sababu ya sita huenda ukawa umepatia, ila kwa hizo tano bado umepapasa tu, upo gizani.
Hujamaliziasijakuelewa
Ni kama mimi tu ninavyokufa kimya kimya kwa kumpenda cbebe![emoji1]Sababu 2 nakubalana nazo, kufunguka na dawa. Katika mahusiano yangu. Wote walikuwa hivi
Humuoni hiyo miguu ni kama vile ataanguka any time from now. hiki ni kiherehere jamani khaaaaaMbona huyu kaweza?[emoji17]![]()
comment yako ni kama vile umeshakata tamaa ya kuishiAcha tufe tu
Hakuna atakaeishi milele
Cjakata Tamaa ila siwezi kuhofia kifo ni moja ya njia ambazo binadamu lazima tupite.comment yako ni kama vile umeshakata tamaa ya kuishi