Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Kwa sababu wao hata kama hizo sababu hawana, lazima watangulie tuu
Hizo sababu hazikwepeki mkuu, lakini natamani mmoja aliyeoa kabila pendwa akarest arudi atoe huu utata jamaniiii
 
Pamoja na haya yote uliyoharaa , me nafurahia kuwa mwana - wa-uume
 
Hizo sababu hazikwepeki mkuu, lakini natamani mmoja aliyeoa kabila pendwa akarest arudi atoe huu utata jamaniiii
Hahaha mkuu sasa kama amerest atakuja kutoa vip huu utata?? By the way watu kibao washatoa shuhuda humu, wengine kaka zao walirest etc
 
Hahaha mkuu sasa kama amerest atakuja kutoa vip huu utata?? By the way watu kibao washatoa shuhuda humu, wengine kaka zao walirest etc
Yaani hamna anaeujua ukweli zaidi ya hao waliorest, anyway tuyaache ya kabila pendwa tusijejiongezea laana ingine maana kila jinsia ina laana yake
 
Umesama sababu 6, naona 5 tu
Amesahau moja, hiyo mada ilichapishwa kwenye saikolojia.com Oktoba 3,2016 hiyo namba tano ndio ilikuwa namba sita. Namba tano kairuka.
 
Sababu zangu ni hizi:
1. Kazi hatarishi zimeajiri idadi kubwa ya wanaume. Mfnao. Jeshi, polisi, migodi N.k.
2. Wanaume tunafanya sana kazi ngumu kwa muda mrefu, hivyo miili yetu huchoka, pia kwenye tendo la ndoa tunatumia nguvu nyingi wakati mwanamke anaweza kulifanya bila kutumia nguvu.
3. Wapo wanawake wakiona dalili za kuachwa na uwezekano wa kukosa mgao wa Mali, anaamua kumtanguliza mume mbele za haki, atamkuta huko baadaye.
4. Wanawake wengine wanajaribu kuwapa dawa za mapenzi waume zao, wakati mwingine dawa hizo huwa sumu.
5. UKIMWI. Wanawake miili yako inastahimili zaidi vijidudu vya ukimwi kuliko wanaume. Ukiona wana ndoa kaanza kuondoka mama, ujue alikuwa nao siku nyingi sana!
 
ndio mnavyotaka wenyewe tufe mapema.na mtabaki wenyewe huku duniani afu tuone kama mtaweza kuishi bila wanaume
 
Kut0mba nay0 inatumaliza nguvu wanaume na kutuua mapema.
 
Ukimpata mwanamke kimeo kurest mbele ya haki inakuhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…