Kwani mme wa bi kidude alikufa mwaka gani?Simple math ni kuwa,wanaume huwa wanaoa mwanamke ambaye kiumri huwa ni mdogo kuliko mwanaume...
Life expectancy huwa inajumuisha jinsia zote mara nyingi...
Kwa mfano hapa Tanzania ni miaka 45, israel anakua ashaanza msako wa roho yako.
By the time unafikia umri wa kufa kufa,unakuta mkeo ndio kwanza ana miaka 6 hivi nyuma.
That is exactly what I'm asking. Kwanini tunakufa mapema wanaume kuliko wanawake? Na naskia hata mbegu zinazobeba mimba ya kiume ni week kuliko zinazobeba mimba ya kike ila kwa hii sina ushahidi wa kisayansi zaidi ya story za vijiweni. sijui kama ni kweli au ni watu wanajaribu kutaka kukazia hoja tu ya why men and not womenUtafiti wako unapata support ya data za census Tanzania na globally bila kujali ameoa au hajaoa, swali ni kwa nini? Kuna msemo mwanamke na mwanaume wakifungiwa chumba kimoja kwa siku saba bila kula wala kunywa, mwanaume anatangulia kufa na mwanamke anafuata baadae.
Pili wanawake ni wengi kuliko wanaume Tanzania na globally why?
Utafiti wako unapata support ya data za census Tanzania na globally bila kujali ameoa au hajaoa, swali ni kwa nini? Kuna msemo mwanamke na mwanaume wakifungiwa chumba kimoja kwa siku saba bila kula wala kunywa, mwanaume anatangulia kufa na mwanamke anafuata baadae.
Pili wanawake ni wengi kuliko wanaume Tanzania na globally why?
kwa sababu tukiudhiwa na wenzetu tunapiga kimya tunakufa ndani kwa ndani na maumivu,tukiwaudhi wanawake wao hupata relief kwa kuongea kila neno linalokuja kichwani mwao na kulia,hivyo hupunguza stress hivyo kuishi zaidi,Kaunga aliwahi kushauri wanaume waanze kulia hata kwa kujificha vinginevyo tutakufa mapema daima.
hilo lina ukweli.. mbegu zinazotunga watoto wa kiume hufa kabla ya zile za kike na mara nyingi mimba zisizotarajiwa huwa za watoto wa kike kwa sabbu hukawia kufa, ingawa sina uhakika kama ina uhusiano wowote na kufa mapema kwa wanaume. na hata kama wanawake wakiwahi kufa kabla ya waume zao basi mume huwa hakawii kufa tofauti na wamama wajane huishi muda mrefu sana kuliko waganeThat is exactly what I'm asking. Kwanini tunakufa mapema wanaume kuliko wanawake? Na naskia hata mbegu zinazobeba mimba ya kiume ni week kuliko zinazobeba mimba ya kike ila kwa hii sina ushahidi wa kisayansi zaidi ya story za vijiweni. sijui kama ni kweli au ni watu wanajaribu kutaka kukazia hoja tu ya why men and not women
pia tendo la ndoa, mshindo mmoja kwa mwanaume ni sawa na mtu alielima ekari moja ya shamba!...anaebisha abishe tu! tendo la ndoa linaconsume adenosine triphosphate (ATP) nyingi sana, so inapunguza nguvu kwenye cell na kuuacha mwili ukiwa dhoofu.
Kwani mme wa bi kidude alikufa mwaka gani?
above is not true, tendo la ndoa lina faida sana kwa mwanaume na ni moja ya eksasaizi kubwa sana kwa mwanaume, nenda jf dokta kasome faida ya tendo la ndoa.pia tendo la ndoa, mshindo mmoja kwa mwanaume ni sawa na mtu alielima ekari moja ya shamba!...anaebisha abishe tu! tendo la ndoa linaconsume adenosine triphosphate (ATP) nyingi sana, so inapunguza nguvu kwenye cell na kuuacha mwili ukiwa dhoofu.
Risky life behaviours: smoking, over-drinking, fighting, too much exercise, workerholism, less sleep, nyumba ndongo, etc.Nimepata point mbili ya kwanza hiyo ya kuficha stress na ya pili kufanya kazi sana. Naomba point nyingine jamani kwasababu kwa dunia ya sasa kuna wanawake wanapiga kazi si mchezo.