Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

. Ni kweli mkuu, Ma Ex huwa tunaona kama hawana gonjwa lolote lile 😒,

. Kwenye style hapo, demu moja hivi aliwahi kuniambia ""VIPI HII STYLE UNAIJUA?" 😀😀
Hapo ndiyo tunapokosea kumuamini mtu kwa macho kisa tu aliwahi kuwa mtu wako

Ila hapo aliposema "VIPI HII STYLE UNAIJUA" alitisha sana.

It was an alert 📢 kukuamsha kuwa hapo uvae Kondomu 2 kwa tendo moja 😅
 
😟😟😟, Siyo mbaya yalisha pita mkuu, usimlaumu sana, yawezekana akili yake ilikua bado ndogo. Hakujua nini maana ya maisha.
 
Wanaume hawana bikra
Mkuu sasa hivi bikra ni hadimu sana,, ila tu, tunazungumzia kuhusu uhusiano wa ma EX hata kama yupo na penzi jipya, iwe ameolewa au na mchumba mpya
 
Mkuu na wewe hutaki NDOA kabisa 🤔
Lile Ni Genge Ambalo Lipo JF Na Kibwagizo Kile

Sheria Ya Ndoa Ya Mwaka 1971
Kama Huwezi Kumhudumia Mke Usioe
Mume Ndiyo Anawajibu Wa Kumtunza Mkewe Kwa Kila Kitu Pia Kuleta Maendeleo
Mkeo Akifanya Kazi Salary Yake Haiguswi
 
. 😆😆😆😟😟, da kweli jamaa Unapenda vibaya sana aise, 3 times. Au demu alikua material sana.

. Mimi kama EX aliniumiza mara ya kwanza, round ya pili akiludi atakubali,
 
Hapo ndiyo tunapokosea kumuamini mtu kwa macho kisa tu aliwahi kuwa mtu wako

Ila hapo aliposema "VIPI HII STYLE UNAIJUA" alitisha sana.

It was an alert 📢 kukuamsha kuwa hapo uvae Kondomu 2 kwa tendo moja 😅
Alikuja na Skills mpya kabisa, Aliyo hitimu kwa Ex wake, akaniletea tena Mimi.
 
Lile Ni Genge Ambalo Lipo JF Na Kibwagizo Kile

Sheria Ya Ndoa Ya Mwaka 1971
Kama Huwezi Kumdumia Mke Usioe
Mume Ndiyo Anawajibu Wa Kumtunza Mkewe Kwa Kila Kitu Pia Kuleta Maendeleo
Mkeo Akifanya Kazi Salary Yake Haiguswi
Hii sheria inabidi ibadilishwe mapema sana, 50:50 ifanye kazi kama walivyo shauri wenyewe wanawake. 😟
 
. 😆😆😆😟😟, da kweli jamaa Unapenda vibaya sana aise, 3 times. Au demu alikua material sana.

. Mimi kama EX aliniumiza mara ya kwanza, round ya pili akiludi atakubali,
Ndio usikae ukajiuliza kwanini vijana hawataki kuoa majibu unayo, sababu ya matukio
 
Attachments

  • IMG_0411.jpeg
    52.8 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…