Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Acha ubinafsi mkuu uende mbinguni😎Wanaume hawana bikra
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ubinafsi mkuu uende mbinguni😎Wanaume hawana bikra
Hapo ndiyo tunapokosea kumuamini mtu kwa macho kisa tu aliwahi kuwa mtu wako. Ni kweli mkuu, Ma Ex huwa tunaona kama hawana gonjwa lolote lile 😒,
. Kwenye style hapo, demu moja hivi aliwahi kuniambia ""VIPI HII STYLE UNAIJUA?" 😀😀
😟😟😟, Siyo mbaya yalisha pita mkuu, usimlaumu sana, yawezekana akili yake ilikua bado ndogo. Hakujua nini maana ya maisha.Ndio maana nasema inafaa afungwe jiwe kubwa la kusagia ngano kisha atupwe baharini akawe chakula cha papa na samaki wengine huko baharini hata nikikuta amegongwa na gari pale anamwagika damu nyingi anaelekea kukata roho simsaidii, ubaya tunafundishwa na yale tunayoyapitia ex abakie kua ex for life usijihusishe na ex kwa lolote ex ni ex tu hawezi kubadirika kamwe akawa tofauti na vile alivyokua hapo kabla
Lile Ni Genge Ambalo Lipo JF Na Kibwagizo KileMkuu na wewe hutaki NDOA kabisa 🤔
Yalikwishapita mkuu, ndio maana sitaki kukumbuka😟😟😟, Siyo mbaya yalisha pita mkuu, usimlaumu sana, yawezekana akili yake ilikua bado ndogo. Hakujua nini maana ya maisha.
. 😆😆😆😟😟, da kweli jamaa Unapenda vibaya sana aise, 3 times. Au demu alikua material sana.Mkuu I am telling you the truth sio fitna sio husuda sio namna gani wewe baki ukielewa hivyo tu, ex abakie kua ex maana ex ni ex tu sasa wewe jichanganye yakukute, nilifuatwa mara ya kwanza tukarudiana yakajirudia yaleyale ex ni matapishi nikakaa pembeni akarudi tena tukarudiana nikampa nafasi kwa mara nyingine yakajirudia tena yale yale nilikosea kupasha makabichi,
Kufupisha story itoshe kusema huwezi kumbadirisha ex kwa maana ex ni ex forever usimsaidie ex mtukutu, msumbufu, mshenzi mshenzi asie na shukhurani, haeleweki, haelekezeki unamwambia hivi yeye anafanya hivi futa kabisa maishani mwako km nilivyofanya Mimi ndio maana nakwambia simtambui hata nimkute anakata roho simsaidii afe tu
Alikuja na Skills mpya kabisa, Aliyo hitimu kwa Ex wake, akaniletea tena Mimi.Hapo ndiyo tunapokosea kumuamini mtu kwa macho kisa tu aliwahi kuwa mtu wako
Ila hapo aliposema "VIPI HII STYLE UNAIJUA" alitisha sana.
It was an alert 📢 kukuamsha kuwa hapo uvae Kondomu 2 kwa tendo moja 😅
Hii sheria inabidi ibadilishwe mapema sana, 50:50 ifanye kazi kama walivyo shauri wenyewe wanawake. 😟Lile Ni Genge Ambalo Lipo JF Na Kibwagizo Kile
Sheria Ya Ndoa Ya Mwaka 1971
Kama Huwezi Kumdumia Mke Usioe
Mume Ndiyo Anawajibu Wa Kumtunza Mkewe Kwa Kila Kitu Pia Kuleta Maendeleo
Mkeo Akifanya Kazi Salary Yake Haiguswi
Ndio usikae ukajiuliza kwanini vijana hawataki kuoa majibu unayo, sababu ya matukio. 😆😆😆😟😟, da kweli jamaa Unapenda vibaya sana aise, 3 times. Au demu alikua material sana.
. Mimi kama EX aliniumiza mara ya kwanza, round ya pili akiludi atakubali,
Sitoweza msahau baba watoto wangu kwa sababu alinitoa sehemu ambapo hata ndugu zangu wa karibu hawakujua hali niliyokuwa ninapitia😌nilikuwa napitia hali hatarishi na isiyokuwa na mwelekeo wala mwanga.
Hapa nilipo ni kwa sababu yake,mafanikio ninayoyapata japo kidogo mzizi ni yeye kuletwa na Mungu ili anivushe katika mapito.
Anafamilia yake kwa sasa na watoto wengine na upendo uliopo kati yangu,mkewe na Yeye ni ule upendo wa kiMungu👏
Niliahidi sitokuja fanya mchezo wa kipumbavu wa kutoka nae kimapenzi tena.
Kila ninapowaombea vijana wangu pamoja na wazazi wangu basi babawatoto,mkewe na watoto wao lazima wawepo maombini👏
Sio kila Ex ni m’baya au ni lazima mkutane kimwili.Kuna maEx hupanda mbegu njema yenye kumea kila kukicha katika maisha ya mhusika😊
Mambo ni mengi na siwezi yaweka hapa jf..Sasa ilikuwaje mkaachana?
Safi👊👊Kwema Mkuu. Mungu ni Mwema
Sitoweza msahau baba watoto wangu kwa sababu alinitoa sehemu ambapo hata ndugu zangu wa karibu hawakujua hali niliyokuwa ninapitia😌nilikuwa napitia hali hatarishi na isiyokuwa na mwelekeo wala mwanga.
Hapa nilipo ni kwa sababu yake,mafanikio ninayoyapata japo kidogo mzizi ni yeye kuletwa na Mungu ili anivushe katika mapito.
Anafamilia yake kwa sasa na watoto wengine na upendo uliopo kati yangu,mkewe na Yeye ni ule upendo wa kiMungu👏
Niliahidi sitokuja fanya mchezo wa kipumbavu wa kutoka nae kimapenzi tena.
Kila ninapowaombea vijana wangu pamoja na wazazi wangu basi babawatoto,mkewe na watoto wao lazima wawepo maombini👏
Sio kila Ex ni m’baya au ni lazima mkutane kimwili.Kuna maEx hupanda mbegu njema yenye kumea kila kukicha katika maisha ya mhusika😊
Kwenye keyboard hawezi ila ikitokea fursa ni dhahiri hawezi kumnyima. Huo ubavu hana wanawake na unafiki ni mapacha.Mkuu, Kwa hiyo EX wako , huwezi kumpa mnofu tena?
Ishu sio kumrudia ishu ni kupasha viporo tuHata wakwako uliye au utakaye muoa atakuwa hivyo hivyo, ila kusahau kupo sasa kama mtu alikuacha akaoa mwingine namrudia vipi labda niwe mbulula
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app