Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aminaaaaa!!!!!Sitoweza msahau baba watoto wangu kwa sababu alinitoa sehemu ambapo hata ndugu zangu wa karibu hawakujua hali niliyokuwa ninapitia[emoji18]nilikuwa napitia hali hatarishi na isiyokuwa na mwelekeo wala mwanga.
Hapa nilipo ni kwa sababu yake,mafanikio ninayoyapata japo kidogo mzizi ni yeye kuletwa na Mungu ili anivushe katika mapito.
Anafamilia yake kwa sasa na watoto wengine na upendo uliopo kati yangu,mkewe na Yeye ni ule upendo wa kiMungu[emoji122]
Niliahidi sitokuja fanya mchezo wa kipumbavu wa kutoka nae kimapenzi tena.
Kila ninapowaombea vijana wangu pamoja na wazazi wangu basi babawatoto,mkewe na watoto wao lazima wawepo maombini[emoji122]
Sio kila Ex ni m’baya au ni lazima mkutane kimwili.Kuna maEx hupanda mbegu njema yenye kumea kila kukicha katika maisha ya mhusika[emoji4]
Kwahyo hajawahi kufanya jema lolote kwako?Ex wangu Mimi afungwe jiwe kubwa shingoni atupwe baharini sihitaji hata kumkumbuka, alafu haujawahi kukutana na ubaya wewe ndio maana unalopoka yeye ndio atanikumbuka kwa mema yangu Ila kwangu hana jema hata moja yote mabaya meusi meusi na mekundu mekundu, asurubiwe afie msalabani
Sijawahi kuona Jambo Zuri hata moja alilowahi kunitendea hata moja sijawahi kuona Ila mabaya ni zaidi ya elfu kwanza alikua tapeli muongo muongo kibaka kibaka fulani mpenda Pesa za kitonga sababu anajua zipo basi anajizushia hata msiba au ugonjwa hata km hajafiwa na haumwi kashaua watu wengi kwa vifo vya uongo sasa mtu huyo mzuri?Kwahyo hajawahi kufanya jema lolote kwako?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sanaa, bas poleeeSijawahi kuona Jambo Zuri hata moja alilowahi kunitendea hata moja sijawahi kuona Ila mabaya ni zaidi ya elfu kwanza alikua tapeli muongo muongo kibaka kibaka fulani mpenda Pesa za kitonga sababu anajua zipo basi anajizushia hata msiba au ugonjwa hata km hajafiwa na haumwi kashaua watu wengi kwa vifo vya uongo sasa mtu huyo mzuri?
Cheka tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sanaa, bas poleee
😊😊😊😊, Dahh, mbona EX anatumiwa mjumbe mtamu hivi?, cocastic una ex mmoja tu?Sio kila Ex ni mbayaa, hata km mnaachana kwa ugomvi au visa ila kuna moments zinafanya moyoo ufunguke na uwe mpoleee.
Popote ulipooo M barikiwa sanaa, siwezi eleza ni jinsi gani uliacha alama kwangu, nahisi ni kiumbe uliyezaliwa ili uje uniinue na kunipaisha.
Hakukua na mtu ambaye angeweza kuwa au kusimama na mie, sio wazazi, ndugu, jamaa hata marafikii, lakini ulijitokeza wewee kuwa karibu yangu na kunifanya niwe imara zaidi ya mwanzo.
Nakumbuka neno lako kuu "maisha ni vile unaishi, tunaishi mara 1 tyuuh" na msemo wako maarufu "ukipewa kilema, unapewa na mwendo" [emoji24][emoji24][emoji24]
Fanikiwa zaidi na zaidi M, natamani nikuone siku 1ili ushuhudie yale uliyoninenea na hakika kwa 90% yametimiaaaa.
Ex wangu weweee ni wa thamaniiii.
Naona umetoa ya moyoni 😀😀, Mkuu ex wako ulimfumania nini? 😒Ex wangu Mimi afungwe jiwe kubwa shingoni atupwe baharini sihitaji hata kumkumbuka, alafu haujawahi kukutana na ubaya wewe ndio maana unalopoka yeye ndio atanikumbuka kwa mema yangu Ila kwangu hana jema hata moja yote mabaya meusi meusi na mekundu mekundu, asurubiwe afie msalabani
Kuzaa ni siri zito sana, Mwanamke akikupenda anaweza kukupa hata mimba ambayo siyo yako, ila kama hakupendi anaweza kukunyima mimba hata kama wewe ndo mhusika mkuu.SEMA yote kama mwanamke anakupenda atazaa na wewe, kukupa utelezi kwao sio shida, amini usiamini shauri yako
Tatizo hauhudhurii vikao, tulishakubaliana mwanamke akisomeshwa sana mwisho ni ufundi cherehaniNikiwekewa kaburi futi 6 pale na Ex pale naambiwa chagua unaenda wapi ntaelekea kwenye shimo la futi 6 nisije nikaenda kumtia mtu bisu la shingo, sitaki kukumbuka mtu unamsaidia mpaka Ada ya chuo na mkopo anapewa na Serekali anamaliza chuo anapata kazi anageuza kibao kuna maex ni maex kweli kweli tena red coloured X
NAKAZIASio kila Ex ni mbayaa, hata km mnaachana kwa ugomvi au visa ila kuna moments zinafanya moyoo ufunguke na uwe mpoleee.
Acha kabisa ni zaidi ya kumfumaniaNaona umetoa ya moyoni 😀😀, Mkuu ex wako ulimfumania nini? 😒