Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

Hapana mkuu siyo makahaba, kuachana na ex ni ngumu sana, Kati ya ma Ex 10, ni mmoja tu ndo mnaweza kuachana milele.
Mmhmmh siwezi kukubishia mkuu mana dunia ina mengi nisiyoyajua ila kweli niwe nimeolewa ndoa yangu takatifu naanzaje kumvulia nguo mwanaume asiye mume wangu kama mimi sio kahaba tena asiye na akili?
 
Sitoweza msahau baba watoto wangu kwa sababu alinitoa sehemu ambapo hata ndugu zangu wa karibu hawakujua hali niliyokuwa ninapitia😌nilikuwa napitia hali hatarishi na isiyokuwa na mwelekeo wala mwanga.

Hapa nilipo ni kwa sababu yake,mafanikio ninayoyapata japo kidogo mzizi ni yeye kuletwa na Mungu ili anivushe katika mapito.

Anafamilia yake kwa sasa na watoto wengine na upendo uliopo kati yangu,mkewe na Yeye ni ule upendo wa kiMungu👏

Niliahidi sitokuja fanya mchezo wa kipumbavu wa kutoka nae kimapenzi tena.

Kila ninapowaombea vijana wangu pamoja na wazazi wangu basi babawatoto,mkewe na watoto wao lazima wawepo maombini👏

Sio kila Ex ni m’baya au ni lazima mkutane kimwili.Kuna maEx hupanda mbegu njema yenye kumea kila kukicha katika maisha ya mhusika😊
Huwa wasema hivi kwenye nyuzi za design hii...nakupa hongera kubwa na kuwa muelewa pia...Chako WA Rii
 
Mmhmmh siwezi kukubishia mkuu mana dunia ina mengi nisiyoyajua ila kweli niwe nimeolewa ndoa yangu takatifu naanzaje kumvulia nguo mwanaume asiye mume wangu kama mimi sio kahaba tena asiye na akili?
Ni kweli mkuu, kama umeweza kuepuka hichi kikombe, Hongera Sana 🙏🙏
 
Habari wana JF!!! Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝.

• Nimekuwa nikijiuliza kama ni kweli mwanamke anaweza kusahau kabisa "EX" wake, hasa anapopata nafasi ya kukutana naye tena. Nimegundua kwamba "EX" wangu wote, hata kama walikuwa na uchungu kuhusu kutengana, kamwe hawakatai kukutana nami ninapowaomba tena Baraka zao, awe ameolewa au awe hajaolewa wananipa naogelea kama kawaida.

• Sijawahi kukutana na upinzani wowote kutoka kwa "EX" zangu, hata wale ambao hatujawasiliana kwa miaka kadhaa kutokana na umbali au sababu nyingine za kibinadam. Kila mara tunapokutana, tunapata "BURUDIKO," hata kama wapo katika mahusiano mapya.

• Hii inanifanya kuwa na wasiwasi kwa sababu najisikia kama vile wasichana nilio nao katika uhusiano nao wanafanya hivyo hivyo, pia kushindwa kuzuia ombi la kukutana na "EX" zao, hata kama wananithibitishia hawatarudi nyuma. Naona Ni ngumu sana kuamini, hasa inapokuwepo nafasi ya kukutana tena.

Kauli yangu ni moja tu, Kula Tunda Mara Moja Waachie Wezio 😎😎.
Kauli yangu ni moja tu, Kula Tunda Mara Moja Waachie Wezio 😎😎.📌
 
FYI tuna 8 yrs tangu tumeachana na bado ninaujasiri wa kuendelea kumheshimu.
Hajawahi kuleta usumbufu mkuu.
Siku 365 mara 8 sawasawa na siku ngapi?
Ni siku tele kwa kweli, karibia aftatu.
Ila poa tu..
Kwa maelezo yako unamheshimu na yy pia anakuheshimu sana.
Ila wewe ni mwanamke hijui akili za wanaume zilivyo.
Atakuwa anakuchukulia wewe kama mke wake wa akiba. Siku akikuibukia hutaamini, atakukula saaana tu
 
Back
Top Bottom