Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

Mwizi kuibiwa ni haramu?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
hahaaaa!! Unapenda kuiba ila kuibiwa hupendi.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
. Yani Mwizi akiibiwa huo mtaa, itafanyiwa searching mpaka kitu chake kipatikane... 😀😀.

. Kuna siku nilisalitiwa nikajua aise, yule demu kidogo nimtoe uhai.. Mpaka leo sijui aliendaga wapi, Maana niliweka patrol kama mwenzi hivi, akahama na mkoa kabisa.
 
Mkikutana lazima atombe hapo
 
Hata wakwako uliye au utakaye muoa atakuwa hivyo hivyo, ila kusahau kupo sasa kama mtu alikuacha akaoa mwingine namrudia vipi labda niwe mbulula

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Siyo kumrudia uolewe naye,yaani yeye anakua kaoa,wewe umeolewa,ila akihitaji mzigo unampa,ndicho mleta mada anaongelea.In short kuwa na maex wengi,ni hazina katika uzinzi.
 
Unarudi kwa ex umesahau nini, gono au??


Sio ukiambiwa tu nimemiss show yako unatatarika kama mahindi ya bisi kujiona wewe ndiye fundi unajua kumkuna kuliko mpenzi wake mpya[emoji23], shtuka bro

Wengine washayavaa maukimwi huko na wanausambaza kwa kwa speed ya 5G,
 
Siyo kumrudia uolewe naye,yaani yeye anakua kaoa,wewe umeolewa,ila akihitaji mzigo unampa,ndicho mleta mada anaongelea.In short kuwa na maex wengi,ni hazina katika uzinzi.
Ni kweli mkuu, Mzunguko wa ma EX, unakua mwingi, Ndo maana hata sisi Waendesha Boda To Boda tunaogopa kuoa.
 
😒😒, Sawa mkuu, ila kwani situnapima kwanza, ndo tunazagamuana?
 
Kama mahusiano yaliisha basi yameisha, kusiwe na mazoea ambayo yatapelekea kupasha viporo, hata siku mkionana haitakua rahisi yaani mtaanzaje kukumbushia na hamjazoeana?. Nimejifunza ukiachwa achika.inawezekana kusahau kabisa Exs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…