Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,955
- 6,546
Chongolo?Astaghfirullah…usinihusishe na mambo machafu…
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chongolo?Astaghfirullah…usinihusishe na mambo machafu…
Amen😀😀, siyo mbaya, songa mbele mkuu..
Mwizi kuibiwa ni haramu?Habari wana JF,Poleni na majukumu ya hapa na pale [emoji1666].
Nimekuwa nikijiuliza kama ni kweli mwanamke anaweza kusahau kabisa "EX" wake, hasa anapopata nafasi ya kukutana naye tena. Nimegundua kwamba "EX" wangu wote, hata kama walikuwa na uchungu kuhusu kutengana, kamwe hawakatai kukutana nami ninapowaomba tena Baraka zao, awe ameolewa au awe hajaolewa wananipa naogelea kama kawaida.
Sijawahi kukutana na upinzani wowote kutoka kwa "EX" zangu, hata wale ambao hatujawasiliana kwa miaka kadhaa kutokana na umbali au sababu nyingine za kibinadam. Kila mara tunapokutana, tunapata "BURUDIKO," hata kama wapo katika mahusiano mapya.
Hii inanifanya kuwa na wasiwasi kwa sababu najisikia kama vile wasichana nilio nao katika uhusiano nao wanafanya hivyo hivyo, pia kushindwa kuzuia ombi la kukutana na "EX" zao, hata kama wananithibitishia hawatarudi nyuma. Naona Ni ngumu sana kuamini, hasa inapokuwepo nafasi ya kukutana tena.
Kauli yangu ni moja tu, Kula Tunda Mara Moja Waachie Wezio [emoji41][emoji41].
Mashoga wameshavamia uzi. Ngoja nikae pembeni.dronedrake : KATAA NDOA NDOA NI UTAPELI
Umeangalia nini mkuu, mpaka useme hivyo,?Mashoga wameshavamia uzi. Ngoja nikae pembeni.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
hahaaaa!! Unapenda kuiba ila kuibiwa hupendi.. Mkuu, kuibiwa ni kitu kingine aise,
Nahisi roho za binadamu Zimeumbwa hivyo.
Mwanaume na mwanamke huunganishwa kwa ndoa.Umeangalia nini mkuu, mpaka useme hivyo,?
. Yani Mwizi akiibiwa huo mtaa, itafanyiwa searching mpaka kitu chake kipatikane... 😀😀.hahaaaa!! Unapenda kuiba ila kuibiwa hupendi.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Huwezi jua mkuu, labda walionja joto la mahusiano..Mwanaume na mwanamke huunganishwa kwa ndoa.
Inakuweje wewe mwanaume upinge jambo la heri kama ndoa?
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Mkikutana lazima atombe hapoSio kila Ex ni mbayaa, hata km mnaachana kwa ugomvi au visa ila kuna moments zinafanya moyoo ufunguke na uwe mpoleee.
Popote ulipooo M barikiwa sanaa, siwezi eleza ni jinsi gani uliacha alama kwangu, nahisi ni kiumbe uliyezaliwa ili uje uniinue na kunipaisha.
Hakukua na mtu ambaye angeweza kuwa au kusimama na mie, sio wazazi, ndugu, jamaa hata marafikii, lakini ulijitokeza wewee kuwa karibu yangu na kunifanya niwe imara zaidi ya mwanzo.
Nakumbuka neno lako kuu "maisha ni vile unaishi, tunaishi mara 1 tyuuh" na msemo wako maarufu "ukipewa kilema, unapewa na mwendo" [emoji24][emoji24][emoji24]
Fanikiwa zaidi na zaidi M, natamani nikuone siku 1ili ushuhudie yale uliyoninenea na hakika kwa 90% yametimiaaaa.
Ex wangu weweee ni wa thamaniiii.
Nipo,taratiibuu
Siyo kumrudia uolewe naye,yaani yeye anakua kaoa,wewe umeolewa,ila akihitaji mzigo unampa,ndicho mleta mada anaongelea.In short kuwa na maex wengi,ni hazina katika uzinzi.Hata wakwako uliye au utakaye muoa atakuwa hivyo hivyo, ila kusahau kupo sasa kama mtu alikuacha akaoa mwingine namrudia vipi labda niwe mbulula
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Ni kweli mkuu, Mzunguko wa ma EX, unakua mwingi, Ndo maana hata sisi Waendesha Boda To Boda tunaogopa kuoa.Siyo kumrudia uolewe naye,yaani yeye anakua kaoa,wewe umeolewa,ila akihitaji mzigo unampa,ndicho mleta mada anaongelea.In short kuwa na maex wengi,ni hazina katika uzinzi.
😒😒, Sawa mkuu, ila kwani situnapima kwanza, ndo tunazagamuana?Unarudi kwa ex umesahau nini, gono au??
Sio ukiambiwa tu nimemiss show yako unatatarika kama mahindi ya bisi kujiona wewe ndiye fundi unajua kumkuna kuliko mpenzi wake mpya[emoji23], shtuka bro
Wengine washayavaa maukimwi huko na wanausambaza kwa kwa speed ya 5G,
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]sawa.[emoji19][emoji19], Sawa mkuu, ila kwani situnapima kwanza, ndo tunazagamuana?