Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

Huyo malaya atavuna atachopanda,
Ataachwa na huyo jamaa af atabaki kudanga.
aliondoka kwangu kwa majivuno, huyo jamaa ake mpya akampokea kwa shangwe wakaanza mapenzi na wamezaa mtoto, mi nami nakula huyo mwanamke ili kumkomoa tu aliyemuoa ex wangu. Akiachwa hana nafasi kwangu ya kuishi pamoa, mi nitakuwa namlia nje huko huko aliko
 
Halafu watu wanasema wanawake hawapendani, kumbe hata wanaume
 
Huu ujumbe ndo umebeba uhalisia wa Maisha katika uhusiano, ila kusema kwamba EX, huachana milele, [emoji19], ni ngumu sana,

Ndo maana ex, Hata ukiona amepost picha iwe fb au insta, Lazima moyo ukumue kidogo. ( Huo ni muunganiko kama ulivyo sema)

Ndio tayari ni muunganiko. Itategemea na Ex alipo. Kama ana enjoy kwa kiwango kikubwa basi anapata short break na ma ex wake. Akiumizwa watu atakaowakumbuka kwa haraka ni yule aliyekuwa akimpa raha kwa namna anavyotafsiri raha.

Kuna wadada watasema mie ikipita imepita, ili athibitushe hili ni “apate nafasi ya kukaa karibu na ex wake kihisia (sio lazima kuonana kimwili, hata kwa mawasiliano) kisha amchomolee hapo atakuwa amethibitisha ame move on”.
 
Halafu watu wanasema wanawake hawapendani, kumbe hata wanaume

Mara nyingi kuna watu wa aina mbili kwenye kuchepuka

1. Mmoja yupo kutuliza nafsi yake anahisi kufanya hivyo kunampa tulizo la moyo uliyojeruhiwa na mpendwa aliyependa na kumtenda. Kumbe anajikosea mwenyewe ndio maana inafika muda anajilaumu tu.

2. Mwingine hafanyi ili mtu wa pili aumie la hasha, ni upendo na hisia zinamsukuma ila akilini mwake hana kisasi chochote wala hamfikiri mume/mke wa jamaa.

Hawa wote wanajipa tulizo katika muktadha tofauti.
 
Ndio tayari ni muunganiko. Itategemea na Ex alipo. Kama ana enjoy kwa kiwango kikubwa basi anapata short break na ma ex wake. Akiumizwa watu atakaowakumbuka kwa haraka ni yule aliyekuwa akimpa raha kwa namna anavyotafsiri raha.

Kuna wadada watasema mie ikipita imepita, ili athibitushe hili ni “apate nafasi ya kukaa karibu na ex wake kihisia (sio lazima kuonana kimwili, hata kwa mawasiliano) kisha amchomolee hapo atakuwa amethibitisha ame move on”.

Akiumizwa watu atakaowakumbuka kwa haraka ni yule aliyekuwa akimpa raha kwa namna anavyotafsiri raha
Mambo huwa yanaazia hapa, unajua ma Ex mara nyingi huwa ni watu ambao tumezoena sana kimazingira, utakuta EX umekaa naye zaidi ya miaka 3-4, lakini Atakaye kuja kumuoa au kuolewa naye wamekaa nusu mwaka tu, then Wanafunga ndoa 😬. Kimuonekano tu Ex bado atakuwa na nguvu kubwa sana. Na Huwa wanafika mbali zaidi hadi hata ushauri wanachukua kutoka kwa EX 😑,
 
sisi wanaume hatupendani pale tu pa kupakuliana mizinga yetu. Hakuna mwanaume anayependa mzinga wake upakuliwe na mwanaume mwingine, patachimbika
😁😁, kama siyo kutembezeana chupa, basi litakuwa bifu kali sana wakati huo.
 
Wote wasili mnashida ya kimaadili na akili
sasa kama napeleka mahitaji ya mtoto tunakutana naye kwa nini nisiombe tukumbushiane enzi za penzi letu la mwanzo? Naomba na napewa kwa shangwe zote kisha na yeye namuachia fedha afurahi
 
Back
Top Bottom