aliondoka kwangu kwa majivuno, huyo jamaa ake mpya akampokea kwa shangwe wakaanza mapenzi na wamezaa mtoto, mi nami nakula huyo mwanamke ili kumkomoa tu aliyemuoa ex wangu. Akiachwa hana nafasi kwangu ya kuishi pamoa, mi nitakuwa namlia nje huko huko alikoHuyo malaya atavuna atachopanda,
Ataachwa na huyo jamaa af atabaki kudanga.
π€£π€£π€£,π¬π¬π¬ Binadamu hawezi kuacha kuchepuka hata iweje, kizuizi ni kifo tu.
Halafu watu wanasema wanawake hawapendani, kumbe hata wanaumealiondoka kwangu kwa majivuno, huyo jamaa ake mpya akampokea kwa shangwe wakaanza mapenzi na wamezaa mtoto, mi nami nakula huyo mwanamke ili kumkomoa tu aliyemuoa ex wangu. Akiachwa hana nafasi kwangu ya kuishi pamoa, mi nitakuwa namlia nje huko huko aliko
πππππAaaaaaah usimbe maji moto chief mpk migongo inauma sasaπ¬π¬π³π³, Du basi tuendelee kuishi kikomando tu sasa,
Huu ujumbe ndo umebeba uhalisia wa Maisha katika uhusiano, ila kusema kwamba EX, huachana milele, [emoji19], ni ngumu sana,
Ndo maana ex, Hata ukiona amepost picha iwe fb au insta, Lazima moyo ukumue kidogo. ( Huo ni muunganiko kama ulivyo sema)
Halafu watu wanasema wanawake hawapendani, kumbe hata wanaume
sisi wanaume hatupendani pale tu pa kupakuliana mizinga yetu. Hakuna mwanaume anayependa mzinga wake upakuliwe na mwanaume mwingine, patachimbikaHalafu watu wanasema wanawake hawapendani, kumbe hata wanaume
Hahaha[emoji41][emoji41]sisi wanaume hatupendani pale tu pa kupakuliana mizinga yetu. Hakuna mwanaume anayependa mzinga wake upakuliwe na mwanaume mwingine, patachimbika
Ndio tayari ni muunganiko. Itategemea na Ex alipo. Kama ana enjoy kwa kiwango kikubwa basi anapata short break na ma ex wake. Akiumizwa watu atakaowakumbuka kwa haraka ni yule aliyekuwa akimpa raha kwa namna anavyotafsiri raha.
Kuna wadada watasema mie ikipita imepita, ili athibitushe hili ni βapate nafasi ya kukaa karibu na ex wake kihisia (sio lazima kuonana kimwili, hata kwa mawasiliano) kisha amchomolee hapo atakuwa amethibitisha ame move onβ.
Mambo huwa yanaazia hapa, unajua ma Ex mara nyingi huwa ni watu ambao tumezoena sana kimazingira, utakuta EX umekaa naye zaidi ya miaka 3-4, lakini Atakaye kuja kumuoa au kuolewa naye wamekaa nusu mwaka tu, then Wanafunga ndoa π¬. Kimuonekano tu Ex bado atakuwa na nguvu kubwa sana. Na Huwa wanafika mbali zaidi hadi hata ushauri wanachukua kutoka kwa EX π,Akiumizwa watu atakaowakumbuka kwa haraka ni yule aliyekuwa akimpa raha kwa namna anavyotafsiri raha
We ai ulishamuacha? Unamfatilia nini?sisi wanaume hatupendani pale tu pa kupakuliana mizinga yetu. Hakuna mwanaume anayependa mzinga wake upakuliwe na mwanaume mwingine, patachimbika
sasa kama napeleka mahitaji ya mtoto tunakutana naye kwa nini nisiombe tukumbushiane enzi za penzi letu la mwanzo? Naomba na napewa kwa shangwe zote kisha na yeye namuachia fedha afurahiWe ai ulishamuacha? Unamfatilia nini?
sasa kama napeleka mahitaji ya mtoto tunakutana naye kwa nini nisiombe tukumbushiane enzi za penzi letu la mwanzo? Naomba na napewa kwa shangwe zote kisha na yeye namuachia fedha afurahi
Toa picha ya mwebyekiti unsdhalilisha chamamaEX tunawala mpaka tiGo