Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

Sasa we uwo mtori unaupata wapi na uku ni msimbe
😁😁, hapa ninapo kaa, wake za watu wapo wengi, na madeni ya vikoba yanasumbua sana, namlipia kikoba- nakula mbususu πŸ˜‚
 
Ndio maana kama umeoa au una mpenzi basi usimruhusu hata kidogo kuwasiliana na ex wake kama una roho ndogo basi kaa mbali na singo maza, utakufa presha.

Mimi kuna ex wangu tulipendana mno mno, ila kulitokea mazingzong yule dem akaja kuolewa.
Alipoolewa alinifutilia mbali kwasababu alijua fika mrugaruga mimi nisingemuoa.
Na hiki kimemsaidia sana, hatuna mawasiliano kabisa mpaka leo.

Na hii ndio njia pekee ya mwanamke kutoliwa na ex wake, ex wake anamjua udhaifu wake hata aseme sijui ni urafiki tu hamna kitu huo ni UONGO. Jamaa akitekenya tu imoo.
 
Mimi kuna ex wangu tulipendana mno mno, ila kulitokea mazingzong yule dem akaja kuolewa.
Alipoolewa alinifutilia mbali kwasababu alijua fika mrugaruga mimi nisingemuoa.
Na hiki kimemsaidia sana, hatuna mawasiliano kabisa mpaka leo.

πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ, Warugaruga siyo watu zuri kabisa, Na alijua kabisa akiendelea kuonana na wewe, lazima utamtafuna tu iwe, isiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…