Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

Mkuu, basi tuseme binadamu wote ni malaya tu, Maana hii si mke wa mtu, si mme wa mtu.. Ex ni mhalibifu sana.
Binadamu wote si malaya. Bado jamii zetu zina wanawake na kinamama wachaMUNGU wanaotunza heshima zao na wasioendekeza umalaya. Ni suala la kuwa na bahati ya kukutana nao.

Swali ni unastahili kuwa na mwanamke asiye malaya?
 
😟, hizo ni bahati na sibu, ni sawa na kucheza BIKO au TatuMzuka alafu upate ushindi.
 
Maisha mazuri lazima yaambatane na bahati.

Swali ni wewe ni bahati kwa atakayekupata? Au ni ole wake atakayekupata maana amebugia shubiri.
😀😀, mimi bado ma EX nawatafuna, nahisi kama nitaoa basi nitampa heshima tu... Ila Ex nitaendelea nao kishkaji..
 
Back
Top Bottom