Je wapenda kuchorwa jina lako?

Je wapenda kuchorwa jina lako?

cacico come this way ujionee mwenyewe kabla sijaangusha wino hapo!

na huyu mwingine ni cacico sijui kama watapenda picha zao kwani nimewatoa bomba sana hakuna mfano rutta wewe angalia zaidi halafu utoe comment zako hapo chini hao wengine naomba uwachore wewe kwani hawaleta picha zaoView attachment 76076
 
Last edited by a moderator:
ndo mana nilisema nitumie details zako nikuchore kwani kwa kuhisi tu inachanganya mimi naweza kuhisi uso wa mtu tu nasio mwili ndio mana nilimwambia rutta kuwa ni muhimu utoe details kamili sasa wewe tuma umbile lako lilivyo kama ni inchi 15' au 30' hivi nitakuchora haya sasa tuma kama unapenda Mentor
 
Last edited by a moderator:
haaya bishanga huyo hapo ametoka shamba na jembe lake unataka nini te na rutta we ni mkorofi sana rutta haya nimeshamchora ongea lingine basi huyo hapo bishanga.jpg
 
NIMEFANIKIWA KUWACHORA HAWA TU ILA HAO WENGINE MPAKA WATOE DAU LANGU NIPO NITAWACHORA@Ruttashobolwa

angalia hapa chini naanza na mwaJ

Unaona ulivyonikosea? Yaani mie nimekuwa kibonge hivyo saa ngapi? Futa picha anza upya!
 
Kazi nzuri ila msikose kupiga kura zenu kwa Madame B awe miss Chitchat 2012
 
Last edited by a moderator:
Hay

waungwana kama kuna mtu anayependa kuchorwa jina lake humu mmu aseme sasa
nami nitamchora kama mimi nilivyojichora hapa ona maneno haya jamani wanajf hayapendezi
si very gudo haya omba kuchorwa sichori bure na kitu kama unacho unanitumia ndipo nakuchora
nina uwezo wa kuchora sura ya mtu bila hata kumtazama kama anatanipa vigezo muhimu vilivyo
mwilini mwake nami nachora kwa hisia ingia hapa uchorwe

ona mfano huu:View attachment 75754


angalia hawa nimewapendelea kama utapenda nawe usisite kutuma details zako nami nakuchora
si unapendeza jamani

karibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu



Sura yako hiyo:
 
Back
Top Bottom