Je wapenda kuchorwa jina lako?

Je wapenda kuchorwa jina lako?

naomba nichore iwe niz awadi yangu ya x-mass mweee!
 
Ndani ya dakika nimeshakuchora je wapenda hii picha ambayo iko katika avatari yako sijaweka kama unahutubia bali nimechukua uso kwani ndo unatakiwa hapa na si kinginecho zaidi ya uso na body tu kama umependa nitumie dau la ngu la mkufu wa kijogoo kwani sichori bure mie nipo kikazi zaidi kama kuna mwingine anapenda achorwe na atume avatar yake nitamchora ni dk3 mambo yanakamilika. Je umeipenda hiyo hapo? chini mug.jpg@Mungi
 
jamani rutta kwani wewe ujajiona jinalo nimechora sasa wewe nakuchora like this
ona hapo chini unafanana na Mungi kwa mbali jiangalie
 
hakuna bei yeyote ile bali tuma details zako za mwili wako ulivyo utachorwa kama ulivyo kwa hisia tu utajiona
unakaribishwa TANMO

Poa, Mrefu, Seksi Bodi, Hendsam Boy, Black, six Packs, n.k........ Hebu nichore
 
NIMEFANIKIWA KUWACHORA HAWA TU ILA HAO WENGINE MPAKA WATOE DAU LANGU NIPO NITAWACHORA@Ruttashobolwa

angalia hapa chini naanza na mwaJ
 

Attachments

  • MWAJ.jpg
    MWAJ.jpg
    11.8 KB · Views: 46
Last edited by a moderator:
na huyu ni madameB mcheki nilivyomchora anakwenda kwenye shughuli ya kitchen party ya nduguye aspiriini na ndo mana sijamchora aspirini kwani ana mdomo sana yeye, nikichora hapa patachimbika ndugu ngoja nilete amani tu hapa mjengoni@RuttashobolwaMADAME B.jpg
 
na huyu mwingine ni cacico sijui kama watapenda picha zao kwani nimewatoa bomba sana hakuna mfano rutta wewe angalia zaidi halafu utoe comment zako hapo chini hao wengine naomba uwachore wewe kwani hawaleta picha zaoCACICO.jpg
 
Last edited by a moderator:
Acha nimchore babu yako Bishanga ingawaje na wewe nimeshakuchora na wala picha haijaungua mm ni mtaalamu niliyetoka ufipa bhana we ona sasa hapa

GRANDF.jpg
Ataweza kunichora kweli? Maana picha tu huungua itakuwa mchoro.
 
ona wewe unayeona mawengemawenge hapa nimekutoa na mkeo angalia mnavyoangaliana hapa si mnapendezea eti Rutta na Mentor si wapendeza hawa Bishanga
 

Attachments

  • GRANDF M.jpg
    GRANDF M.jpg
    12.7 KB · Views: 20
Last edited by a moderator:
ona wewe unayeona mawengemawenge hapa nimekutoa na mkeo angalia mnavyoangaliana hapa si mnapendezea eti Rutta na Mentor si wapendeza hawa Bishanga

Hivii ni wewe mwenyewe unachora au?? mbona wazungu tu...

Ebu nichore mie...KUMBUKA: mimi ni mweusi tiiii
 
nitumie details zako ndiopo nikuchore na lazima uwe na dau la kichina yaani mkufu wa kitamaduni zaidi unaopatikana maeneo ya kilimanjaro mpakani mwa horohoro kama unapajua hapo ukituma nitakuchora kama ulivyo taka
 
kama ulivyotaka acha nikuchore angalau ung'are zaidi kidogo maana uo ublack mie nimeshtuka bana best
jione ulivyo hapa chinimentor.jpg
 
Back
Top Bottom