Ndani ya dakika nimeshakuchora je wapenda hii picha ambayo iko katika avatari yako sijaweka kama unahutubia bali nimechukua uso kwani ndo unatakiwa hapa na si kinginecho zaidi ya uso na body tu kama umependa nitumie dau la ngu la mkufu wa kijogoo kwani sichori bure mie nipo kikazi zaidi kama kuna mwingine anapenda achorwe na atume avatar yake nitamchora ni dk3 mambo yanakamilika. Je umeipenda hiyo hapo? chini
@Mungi
na huyu ni madameB mcheki nilivyomchora anakwenda kwenye shughuli ya kitchen party ya nduguye aspiriini na ndo mana sijamchora aspirini kwani ana mdomo sana yeye, nikichora hapa patachimbika ndugu ngoja nilete amani tu hapa mjengoni@Ruttashobolwa
na huyu mwingine ni cacico sijui kama watapenda picha zao kwani nimewatoa bomba sana hakuna mfano rutta wewe angalia zaidi halafu utoe comment zako hapo chini hao wengine naomba uwachore wewe kwani hawaleta picha zao
nitumie details zako ndiopo nikuchore na lazima uwe na dau la kichina yaani mkufu wa kitamaduni zaidi unaopatikana maeneo ya kilimanjaro mpakani mwa horohoro kama unapajua hapo ukituma nitakuchora kama ulivyo taka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.