na huyu mwingine ni cacico sijui kama watapenda picha zao kwani nimewatoa bomba sana hakuna mfano rutta wewe angalia zaidi halafu utoe comment zako hapo chini hao wengine naomba uwachore wewe kwani hawaleta picha zaoView attachment 76076
Acha nimchore babu yako Bishanga ingawaje na wewe nimeshakuchora na wala picha haijaungua mm ni mtaalamu niliyetoka ufipa bhana we ona sasa hapa
View attachment 76090
ni mentor huyu hapa kataka nimchoreView attachment 76118
hivi kwanini wewe umeamua kudelete hii kitu una matatizo ya kisaikolojia nini? Arushaone
haaya bishanga huyo hapo ametoka shamba na jembe lake unataka nini te na rutta we ni mkorofi sana rutta haya nimeshamchora ongea lingine basi huyo hapoView attachment 76125
na huyu mwingine ni cacico sijui kama watapenda picha zao kwani nimewatoa bomba sana hakuna mfano rutta wewe angalia zaidi halafu utoe comment zako hapo chini hao wengine naomba uwachore wewe kwani hawaleta picha zaoView attachment 76076
Bishanga katokelezea!Acha nimchore babu yako Bishanga ingawaje na wewe nimeshakuchora na wala picha haijaungua mm ni mtaalamu niliyetoka ufipa bhana we ona sasa hapa
View attachment 76090
NIMEFANIKIWA KUWACHORA HAWA TU ILA HAO WENGINE MPAKA WATOE DAU LANGU NIPO NITAWACHORA@Ruttashobolwa
angalia hapa chini naanza na mwaJ
Hay
waungwana kama kuna mtu anayependa kuchorwa jina lake humu mmu aseme sasa
nami nitamchora kama mimi nilivyojichora hapa ona maneno haya jamani wanajf hayapendezi
si very gudo haya omba kuchorwa sichori bure na kitu kama unacho unanitumia ndipo nakuchora
nina uwezo wa kuchora sura ya mtu bila hata kumtazama kama anatanipa vigezo muhimu vilivyo
mwilini mwake nami nachora kwa hisia ingia hapa uchorwe
ona mfano huu:View attachment 75754
angalia hawa nimewapendelea kama utapenda nawe usisite kutuma details zako nami nakuchora
si unapendeza jamani
karibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
UTASUBIRI SANA KUELEWA HAHAHAAAACjakuelewa
200,000,000,000Bei gani?