Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Wananchi Mkuuunauziwa na wananchi au ni yale maeneo ya kijiji
Kuna Eneo Nilipita Nikakuta Jeshi Lina Maeneo Mashamba Katikati Ya Pori Na Wananchi Wanalima Sana Sana, Mishamo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wananchi Mkuuunauziwa na wananchi au ni yale maeneo ya kijiji
Hakuna ekari ya 50, labda iwe ni pori la kufyek
Handeni ipi hiyo Mkuu?Handeni hapo ikitaka la karibu na bara bara kuanzia laki 1
ila ndani ndani hulo unapata kwa hela hyo na hata maporibure yapo
sasa huko ukijichanganya si wanaweza kukuuzia sehemu ya hifadhi na usijueWananchi Mkuu
Kuna Eneo Nilipita Nikakuta Jeshi Lina Maeneo Mashamba Katikati Ya Pori Na Wananchi Wanalima Sana Sana, Mishamo View attachment 2946482
Haa Haasasa huko ukijichanganya si wanaweza kukuuzia sehemu ya hifadhi na usijue