Je, wapinzani ni wakombozi?

Je, wapinzani ni wakombozi?

hawajanishawishi kama ambavyo wapinzani hawajanishawishi, lkn bibi yangu na babu na majirani zao kule kijijini wameniambia wanawapa kura zao sisiemu.

Mama naye

Yani we mpaka ushawishiwe. Kwa nini usitake kiwe kile ukitakacho? Kwanini we unataka nini? Hao babu na bibi yako wanajua kuhusu UFISADI?

Asha
 
Kwa hiyo bibi yako na babu yako wameshawishika na hoja kabambe za CCM au wameuzika na pilau, soda, kanga, na kofia za bure?

si bora hata wangepewa hivyo vitu, wanasema ni chama cha julius na julius ndiye pekee alikuwa na fikra na wanasema fikra za julius zidumu.

Upinzani wa kweli unaweza kuwa kwa vijana waliozaliwa 70s na kwa wapinzani kuchukua madaraka ni kwa kizazi cha 80s, hao damu yao haina usisiemu sisiemu.
 
Mama naye

Yani we mpaka ushawishiwe. Kwa nini usitake kiwe kile ukitakacho? Kwanini we unataka nini? Hao babu na bibi yako wanajua kuhusu UFISADI?

Asha

Huna haja ya kunishawishi mimi bidada, mimi ni independent na ninajua mbichi na mbivu, na kura yangu nitajua wa kumpa hiyo 2010 kama Mungu atanijaalia kurudi huko home. Bibi na babu yangu ni mfano wa kukupa picha ya halisi ya kijijini ambayo nahisi unaijua. Wanaoingia hapa JF majoriry wanajua CCM imebore kwa hiyo ninachotaka kuonyesha ni kuwa muhamie na huko vijijini kwa wapiga kura.
 
si bora hata wangepewa hivyo vitu, wanasema ni chama cha julius na julius ndiye pekee alikuwa na fikra na wanasema walisema fikra za julius zidumu.

Upinzani wa kweli unaweza kuwa kwa vijana waliozaliwa 70s na kwa wapinzani kuchukua madaraka ni kwa kizazi cha 80s, hao damu yao haina usisiemu sisiemu.

Kwa hiyo basi hata hao babu na bibi zako sio kwamba wanashawishika na hoja na kutumia akili zao kuchambua mambo bali wanaenda na mazoea...
Sasa watu kama hao walioambiwa zidumu fikra za Julius na kweli vichwani mwao zikadumu itakuwa vigumu sana kuwabadilisha kwa sababu sidhani hata hizo fikra za Julius walizichambua kama inavyopaswa...
Kuna kaazi kweli kweli...
 
Kwa hiyo basi hata hao babu na bibi zako sio kwamba wanashawishika na hoja na kutumia akili zao kuchambua mambo bali wanaenda na mazoea...Sasa watu kama hao walioambiwa zidumu fikra za Julius na kweli vichwani mwao zikadumu itakuwa vigumu sana kuwabadilisha kwa sababu sidhani hata hizo fikra za Julius walizichambua kama inavyopaswa...
Kuna kaazi kweli kweli...

Habari ndiyo hiyoooooooooooo,
 
Inatisha....

Nyani ni kweli ukiwa na watanzania milioni moja kama huyu mama, hiyo Tanzania itageuka kuwa magofu. Yaani watu wamekunywa maji ya bendera za kijani hata hawataki kuambiwa chochote kuhusu CCM
 
Mimi kama mwana mama nasema hiviii,
kama maharage yameliwa na wadudu sana, nimechambua nimechoka.
Nachofanya ni kenda kuyaotesha, yatakayoota ndio mazima, yale mabovu yatakuwa mbolea.
Tangu nyerere amepoteza mudamwingi kuweka mmoja kutoa, kuhamisha, nk,
inabidi sasa tuchukue bidhaa nyingine tuanze tena kwa heshima tukijua namna ambavyo wanaweza kuabuse madaraka, tusiwape chance tangu mwanzo.
that is kabla ya uchaguzi, katiba ibadilike, iwape nguvu wananchi
 
Naomba kumquote Mrema, wakati wa uchaguzi alisema "Hatakama Kikwete angekuwa malaika haawezi kufanya chochote ndani ya CCM"
Kwa kweli japo sijasahau, nilipuuzia sana wakati ule, sasa ndio najionea
 
vyama vya upinzani wanasema kuwa ccm ni mafisadi lakini wao ndio mafisadi na viongozi wao. Hakuna wizi wala ufisadi uliofanywa na ccm bali ni mambo tu ya majungu ya chadema hapa jf.

Sasa tutakutana hapa na wana ccm kwa namba kubwa hapa kuanzia wakuu hapa kina kada, sam, zemarcopolo, mtarajiwa, mtu wa pwani, kubwajinga na wengine wengi hapa tumekuja kuigeuza jf kurudi kwa ccm. Hakuna nafasi tena ya udaku na habari zenu za wivu na chuki dhidi ya ccm.

tutaanza na viongozi wenu mafisadi kwa kuanzia na fisadi namba moja mbowe na kisha kuja kwa yule mdini lipumba na seif sharif. Hawa kina zitto na Slaa nao mambo yao yanatengenezwa.

Kazi sasa imeanza.
 
asije akakimbia tu mtu humu !! tutaanza kujaa tele tena bwelele !!

tena ninayo hotuba aliyotoa mzee mtei, kitu ambacho uncle tom (mbowe) is really against ! yaani kafanya 180 degrees turn ! nilipitishiwa hiyo hotuba jamani eeh !
 
Ama kweli mfa maji haishi kutapatapa!!!! Sasa huku ni kutapata!!! JK mwenyewe kashindwa kusimama na kukanusha kwamba mabilioni yaliyokupuliwa toka BoT yaliingia chama cha mafisadi ili yagharimie uchaguzi wa 2005 na nyingine zikaishia mifukoni mwa mafisadi, sasa wewe unataka kutuzuga Watanzania!!! Hebu tuondolee upuuzi wako hapa!!!
 
ukiingia JF na kufikiri/kuwaza kuwa una-chat na Chadema/Upinzani........ni UFINYU na UVIVU wa kufikiri...........dormant BRAIN!!

.......kwa mnaofikiri CCM wote wamezubaa kama mnavyojaribu kuweka hapa.....y'all doomed idiots.......kuna CCM members hapa.......tunamkoma Nyani mchana kweupee...

JF ni baraza la wote wenye uchungu na nchi yao.....na wenye kutaka kuona haki na maendleo kwa kila mwananchi na UFUSKA NA UFISADI TUNAOUONA......damn.....

Haogopwi mtu hapa........yeyote akichemsha tunamshukia bila kumuonea haya usoni
 
umesoma thread ya tumewaudhi ? nafikiri inaweza ikawa inakuhusu mzee.
 
vyama vya upinzani wanasema kuwa ccm ni mafisadi lakini wao ndio mafisadi na viongozi wao. Hakuna wizi wala ufisadi uliofanywa na ccm bali ni mambo tu ya majungu ya chadema hapa jf.

Naona mmeamua kugeuza nyeusi kuwa nyeupe. Haya tunawasubiri tuwasikie sasa mseme hayo mliyonayo...

POLENI! Na Lazima Mafisadi Wote Mtaondoka!
 
Back
Top Bottom