Pundit
JF-Expert Member
- Feb 4, 2007
- 3,733
- 141
Swali "Hivi wapinzani wataweza kutuletea maendeleo wakipewa nchi?" ni murua, kwa nilivyolielewa mimi.
Msingi ni kuwa, hebu tufikirie kuwa wapinzani ndiyo wameshapewa nchi, hivi wataweza kutuletea maendeleo?
Ndipo mimi nilipotoa concerns zangu kuwa tunachohitaji si kuondoa chama tawala tu, bali pia na institutional changes pamoja na kubadili mentality/ kuongeza elimu ya watu.
Maana hata hao wapinzani wakiingia madarakani wataacha kuwa wapinzani na watakuwa chama "twawala" kama wanavyosema wakina makengeza.It's human nature, wewe leo huna clout, kesho rais una largesse ya kuchagua entourage lako zima liwe wakuu wa mikoa, wilaya, viongozi wa mashirika ete unafikiri itakuwa rahisi kubadili katiba? Yamemshinda Kibaki hata baada ya kuahidi watu, yamemshinda Kikwete huyo hapo mpaka kesho anachagua watu bogus wa mtandao.
Hili ni moja ya maswali yaliyo na maana kabisa.Swali liko one step ahead of the times, wakati kila mtu anajiuliza ni jinsi gani ya kuitoa CCM, swali limechukulia for granted tu kwamba kwa mujibu wa trend hii basi CCM itatoka tu, si mbali sana.For the sake of argument hata kama hawatoki lets say wametoka na wapinzani wamechukua nchi, then what, under our current settings kuna kitu kitabadilika?
IMHO, I do not think much will change for the better, to the contrary, possibly for the worse.
Tunahitaji institutional change either simultaneously with or before regime change.