Asha Abdala
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 1,130
- 45
hawajanishawishi kama ambavyo wapinzani hawajanishawishi, lkn bibi yangu na babu na majirani zao kule kijijini wameniambia wanawapa kura zao sisiemu.
Kwa hiyo bibi yako na babu yako wameshawishika na hoja kabambe za CCM au wameuzika na pilau, soda, kanga, na kofia za bure?
Mama naye
Yani we mpaka ushawishiwe. Kwa nini usitake kiwe kile ukitakacho? Kwanini we unataka nini? Hao babu na bibi yako wanajua kuhusu UFISADI?
Asha
si bora hata wangepewa hivyo vitu, wanasema ni chama cha julius na julius ndiye pekee alikuwa na fikra na wanasema walisema fikra za julius zidumu.
Upinzani wa kweli unaweza kuwa kwa vijana waliozaliwa 70s na kwa wapinzani kuchukua madaraka ni kwa kizazi cha 80s, hao damu yao haina usisiemu sisiemu.
Kwa hiyo basi hata hao babu na bibi zako sio kwamba wanashawishika na hoja na kutumia akili zao kuchambua mambo bali wanaenda na mazoea...Sasa watu kama hao walioambiwa zidumu fikra za Julius na kweli vichwani mwao zikadumu itakuwa vigumu sana kuwabadilisha kwa sababu sidhani hata hizo fikra za Julius walizichambua kama inavyopaswa...
Kuna kaazi kweli kweli...
Habari ndiyo hiyoooooooooooo,
Inatisha....
Inatisha....
Sijauliza swali bali nilisema kwa maandishi kuwa wapinzani hawajajiandaa kuchukua madaraka ili kuleta hayo maendeleo.
vyama vya upinzani wanasema kuwa ccm ni mafisadi lakini wao ndio mafisadi na viongozi wao. Hakuna wizi wala ufisadi uliofanywa na ccm bali ni mambo tu ya majungu ya chadema hapa jf.
Sasa tutakutana hapa na wana ccm kwa namba kubwa hapa kuanzia wakuu hapa kina kada, sam, zemarcopolo, mtarajiwa, mtu wa pwani, kubwajinga na wengine wengi hapa tumekuja kuigeuza jf kurudi kwa ccm. Hakuna nafasi tena ya udaku na habari zenu za wivu na chuki dhidi ya ccm.
tutaanza na viongozi wenu mafisadi kwa kuanzia na fisadi namba moja mbowe na kisha kuja kwa yule mdini lipumba na seif sharif. Hawa kina zitto na Slaa nao mambo yao yanatengenezwa.
Kazi sasa imeanza.
Kumbe mko katika special mission. Karibuni sana.
ukiingia JF na kufikiri/kuwaza kuwa una-chat na Chadema/Upinzani........ni UFINYU na UVIVU wa kufikiri...........dormant BRAIN!!
.......kwa mnaofikiri CCM wote wamezubaa kama mnavyojaribu kuweka hapa.....y'all doomed idiots.......kuna CCM members hapa.......tunamkoma Nyani mchana kweupee...
JF ni baraza la wote wenye uchungu na nchi yao.....na wenye kutaka kuona haki na maendleo kwa kila mwananchi na UFUSKA NA UFISADI TUNAOUONA......damn.....
Haogopwi mtu hapa........yeyote akichemsha tunamshukia bila kumuonea haya usoni
umesoma thread ya tumewaudhi ? nafikiri inaweza ikawa inakuhusu mzee.
vyama vya upinzani wanasema kuwa ccm ni mafisadi lakini wao ndio mafisadi na viongozi wao. Hakuna wizi wala ufisadi uliofanywa na ccm bali ni mambo tu ya majungu ya chadema hapa jf.