Je, wapinzani ni wakombozi?

Je, wapinzani ni wakombozi?

Nakandamiza Kibara,
Mwache Paparazi ajirushe. Huyo katumwa na CCM.
 
Hivi katika zile porojo za JK wadanganyika waziita ahadi hakuna mahali alisema kwamba atafanya kazi na wapinzani ? Kama alisema ni kweli ni JK huyu mtu wa watu anasimamia kuzima uhuru wa watu kukutana ambao ni kinyume na sheria ?
 
Jasusi, kweli huyu Paparazi ni mtumwa wa CCM. Atuambie, je mafisadi wa CCM wafanyweje, wapewe vyeo serikalini na wengine watoroshwe nje ya nchi? Huyu bwana si kibaraka tu wa CCM, ni zuzu haswa!
 
Hawa askari sisi wananchi tunaweza tukawa tunawalaumu bure, let us look on the otherside of the coin.....hawa ni watu wanao amriwa kufanya jambo...hata kama hawapendi..amri inapotoka ni sharti watekeleze kama ilivyoamriwa..Sasa basi kuna vyanzo vyake ambavyo...ni baadhi ya vigogo waliopo madarakani ndo hasa hutoa order ili kuvuruga mipango ya wanasiasa wengine ili wao waendeleee kufaidi

Sasa waseme basi kuwa sisi tunatekeleza amri za fulani na fulani tu, sio kutuletea umahiri wa political science kwamba "kinachoendelea Kenya kisije tokea hapa" kama vile wana crystal ball or something.

Ukishatoa comments kama hizo unaown responsibility ya zali.
 
Embu angalia wapimzani walivyochoka,,,,hawa ukipata nchi si ndio wataimalizaaaa

[media]http://bp3.blogger.com/_HO8ijU76ZcQ/R8-dTqy4erI/AAAAAAAAOdc/SdjfjkSuKjY/s1600-h/c.JPG[/media]
 
Ushauri wa bure tu... kama nati zako zote bado zipo...!

Hii vita dhidi ya ufisadi imezaa matunda haya unayoyaona sasa! Si matunda makubwa lakini ni chachu muhimu kama tukiiendeleza. Watu wachache wamejitoa mhanga kuanza mapambano... wanahitaji kutiwa moyo.Watanzania wanaomba Mungu chachu hii iendelee kwa nguvu zaidi ili ukweli uendelee kufichuka na baadaye hali ya maisha iweze kubadilika.

Kwa taarifa yako pia, watu wengi wanaopambana haki itendeke nchini wengine wala sio watu wa njaa ufikiri ndiyo inawasukuma.. lakini huruma kwa wengine wanaowaona wakiteseka na wao wanajiona nisehemu ya jamii husika.

Usiombe kujua picha tunayoipata kukuhusu tunaposoma taarifa zako ukisifia mafisadi. Sii tu kuwa wewe ni kibaraka wa mafisadi lakini usiyeona zaidi pua yako na hapo mafisadi walikoo. Your mental facalty is extreemly limited...! Hata kama unaishi kwa njia hii ya kuwasifu na unajipatia riziki, bado uko nyuma sana..! Tukiwa na watu kama wewe kwa mfano katika jamii...! hakutakuwa na dhambi yeyote kutafsiri kama balaa...! Mungu nisamehe kama nimekwenda mbali zaidi...! I just intend to knock the dead cells somewhere...!

Katika hali ilivyo sasa huwezi kufikiri kukutana na mtu bado mwenye mtizamo wa kusifia mafisadi.


Come to your senses...!!! Tuko vitani! Au huna watoto? kwa mtindo huu watasoma?
 
Embu angalia wapimzani walivyochoka,,,,hawa ukipata nchi si ndio wataimalizaaaa

[media]http://bp3.blogger.com/_HO8ijU76ZcQ/R8-dTqy4erI/AAAAAAAAOdc/SdjfjkSuKjY/s1600-h/c.JPG[/media]

Mstahiki:
Hivi huwa unaharakia kwenda wapi?
Maana kila bandiko lako linaonekana kana kwamba unakatiza haraka haraka ili uondoke! Au kuna mtu amekusimamia hapo umalize kutumia kompyuta haraka?

Na hiyo picha sasa haionekani.
 
sio wakishika madaraka mzee, sasa hivi tu nshaanza kuona baadhi yao wakinawili, ebu mwangalie mnyika yule wa kwenye uchaguzi 2005 na mnyika huyu wa sasa hivi 2008, shavu shavu lakini 2005 alikuwa mkavu kama kipande cha muhogo !
 
Mstahiki:
Hivi huwa unaharakia kwenda wapi?
Maana kila bandiko lako linaonekana kana kwamba unakatiza haraka haraka ili uondoke! Au kuna mtu amekusimamia hapo umalize kutumia kompyuta haraka?

Na hiyo picha sasa haionekani.


FUNGUA ATTACHMENT UWAONE WALIVYOCHOKA MBAYA
 
ONYO: Vita dhidi ya JF bado inaendelea.Kufungua ovyo attachment kunaweza kutransmit kirahisi info zako kwa huyo anayekuelekeza kufungua attachment.KUMBUKENI BADO TUKO VITANI
 
Huyu mnamwita mstahiki sijui nani..

Nawaza either anamtindio wa ubongo...
au kapotea njia huku... akifikiri ni hii blog ya TVT au Uhuru
au ndo hivyo tena kichwa hakikujishona sawasawa..!

Dawa yako rahisi sana...!

kukusifia kama mtoto...!

na hapa naanza..! Aise umeanzisha Posti kali sana...! Inatukuna vichwa sana! ndo tunataka vichwa kama hivi!

Jamani huyu mbona hamumsaidii au mmefanya limbukeni mtushtue na sisi! Sisi tunahangaika naye kumbe huyu yupo huku kukamilisha jf iwe na watu wa dizaini zote..! kazi kwelikweli!
 
JAMAA CHOKA MBAYA

Mstahiki, usitukane wakunga na uzazi ungalipo; hawa unaowaita wachovu ndio waliopigania demokarasia na uhuru katika nchi hii. Sasa hivi unaona wanavyoongoza mapambano dhidi ya mafisadi!

"Usione simba kanyeshewa mvua ukadhania ni nyani". Thubutu! Hawa hawa "wachovu" wanawanyima sisiemu na serikali yake usingizi!
 
This Sound Childish To Me, Mods Can U Move This Thread To Jokes/udaku Pliiiiiiiiiiiz.......
 
Hii hapa ndio mahala pake hasa na ndio SI-HASA yenyewe tustahamiliane wakubwa....
 
Is this the 'A' Team? For real?

Tutaendelea kusota ile mbaya chini ya Chama Kigumu!

So far, hii ndio timu inayozuia Tanzania isiwe a total colony ya sinclair (kulingana na mkakati wa Kikwete na ccm). kama wasomi na wale wanaojizania kuwa ni A team wasingeogopa na wao wakajiunga na upinzani basi mambo yangekuwa bora kidogo na Barick wasingepata hata hiyo Buzwagi.
 
Back
Top Bottom