Je, wapo mafundi waaminifu?

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Kila nikiwaza kujenga hofu yangu inaingia pale ninapofikiria mafundi watakavyonibia cement, nondo na material mengine. Je, ni kweli wapo mafundi ambao wanaweza kuwa waaminifu katika ujenzi.
 
Kazi utapata tu ila utalipwa haki yako sio kuongeza materials bei na idadi baadae urudi dukani ukachukue cha juu. Mmenifanya nimekuwa engineer pori dadeki najua ujenzi kama nimesomea.
Commission lazima, hata majengo yanayosimamiwa na ma engineer upigaji upo, engineer ana site 4 kwa wakati mmoja. Ratio inapunguzwa cement hiyoooo kwa duka
 
Kila nikiwaza kujenga hofu yangu inaingia pale ninapofikiria mafundi watakavyonibia cement, nondo na material mengine. Je, ni kweli wapo mafundi ambao wanaweza kuwa waaminifu katika ujenzi.
Wapo mkuu!kuna Mzee mmoja hapa Dodoma anaitwa Mzee Sanga kwa Sasa amezeeka sana !Huyu Mzee vitu vkibaki anakurudishia,shida yake anajenga taratibu hana haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…