Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mafundi waaminifu wapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umasikini wako upo kwenye woga wako..!!Kila nikiwaza kujenga hofu yangu inaingia pale ninapofikiria mafundi watakavyonibia cement, nondo na material mengine. Je, ni kweli wapo mafundi ambao wanaweza kuwa waaminifu katika ujenzi.
Mfano kinyoziMafundi waaminifu wapo
😁Mfano kinyozi
Wengi tu, sema huyu Nyanda Banka anaishi kwa stori za kusimuliwa. Ingawa hata wezi wapo😁
Wapo fundi ujenzi waaminifu.
unamjua fundi mkuu...?😂🤣😂Kama unataka kuepuka wizi, simamia ujenzi mwenyewe. NunuAa materials mwenyewe,siku ya ujenzi lazima uwepo.
Fundi mkuu au mkuu wa mafundi?unamjua fundi mkuu...?😂🤣😂
fundi kama fundi achana na mafundi namaanisha fundiFundi mkuu au mkuu wa mafundi?
PoaKuwa na imani ndugu bado watu wema wapo. Nashukuru nimeshuhudia hili, mafundi waaminifu wapo.
nipo hapa kijana safi sio mwizi sina tamaa kazi nzuri😂😂🤣Huyu hapa fundi bishoo hana shida.
...nimependa uliposema "hutaibiwa sana"...kwa hiyo kuibiwa kupo tuuMlipe fundi vizuri hutoibiwa sana
Mno...nimependa uliosema "hutaibiwa Sana"...kwa hiyo kuibiwa kupo tuu
Hana ela huyuNicheki mkuu nitakujengea uaminifu 100%
Kama hauna ramani ya nyumba nitakuchorea for free kabisa
0624254690
Hauwezi kujua mkuu! Huenda anazo au yuko Kwenye mchakato wa kuwa nazo!Hana ela huyu