Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Kila nikiwaza kujenga hofu yangu inaingia pale ninapofikiria mafundi watakavyonibia cement, nondo na material mengine. Je, ni kweli wapo mafundi ambao wanaweza kuwa waaminifu katika ujenzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujawahi kuiba hata pen ukiwa shule?Kila nikiwaza kujenga hofu yangu inaingia pale ninapofikiria mafundi watakavyonibia cement, nondo na material mengine, je ni kweli wapo mafundi ambao wanaweza kuwa waaminifu katika ujenzi
Nishawahi ila ni utoto je hawa sasaHujawahi kuiba hata pen ukiwa shule?
Mlipe fundi vizuri hutoibiwa sanaNishawahi ila ni utoto je hawa sasa
PoaNicheki mkuu nitakujengea uaminifu 100%
Kama hauna ramani ya nyumba nitakuchorea for free kabisa
0624254690
Pia hawajakua badoNishawahi ila ni utoto je hawa sasa
Karibu sana!
Mwizi ni mwizi tu hata alipwe mamilioni. Mfano mzuri wanasiasa wetu.Mlipe fundi vizuri hutoibiwa sana
Kama unataka kuepuka wizi, simamia ujenzi mwenyewe. NunuAa materials mwenyewe,siku ya ujenzi lazima uwepo.Kila nikiwaza kujenga hofu yangu inaingia pale ninapofikiria mafundi watakavyonibia cement, nondo na material mengine. Je, ni kweli wapo mafundi ambao wanaweza kuwa waaminifu katika ujenzi.
Bro utafanya nikose kaziMwizi ni mwizi tu hata alipwe mamilioni. Mfano mzuri wanasiasa wetu.
Kazi utapata tu ila utalipwa haki yako sio kuongeza materials bei na idadi baadae urudi dukani ukachukue cha juu. Mmenifanya nimekuwa engineer pori dadeki najua ujenzi kama nimesomea.Bro utafanya nikose kazi
Commission lazima, hata majengo yanayosimamiwa na ma engineer upigaji upo, engineer ana site 4 kwa wakati mmoja. Ratio inapunguzwa cement hiyoooo kwa dukaKazi utapata tu ila utalipwa haki yako sio kuongeza materials bei na idadi baadae urudi dukani ukachukue cha juu. Mmenifanya nimekuwa engineer pori dadeki najua ujenzi kama nimesomea.
Wapo wengiKila nikiwaza kujenga hofu yangu inaingia pale ninapofikiria mafundi watakavyonibia cement, nondo na material mengine. Je, ni kweli wapo mafundi ambao wanaweza kuwa waaminifu katika ujenzi.
Wapo mkuu!kuna Mzee mmoja hapa Dodoma anaitwa Mzee Sanga kwa Sasa amezeeka sana !Huyu Mzee vitu vkibaki anakurudishia,shida yake anajenga taratibu hana haraka.Kila nikiwaza kujenga hofu yangu inaingia pale ninapofikiria mafundi watakavyonibia cement, nondo na material mengine. Je, ni kweli wapo mafundi ambao wanaweza kuwa waaminifu katika ujenzi.
Anafaa huyuWapo mkuu!kuna Mzee mmoja hapa Dodoma anaitwa Mzee Sanga kwa Sasa amezeeka sana !Huyu Mzee vitu vkibaki anakurudishia,shida yake anajenga taratibu hana haraka.