Je, Warumi alijua kwamba atakufa?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Binafsi namchukulia warumi Kama shujaa kwasababu nimejiuliza maswali yafuatayo.

Ugonjwa wake wa Figo sio kitu kilichokuja ghafla Kama ajali ya bodaboda ulianza polepole hatua kwa hatua mpaka ulipochukua maisha yake.

Kama ndivyo Basi alivumilia Sana mateso hasa ya kujua kwamba atakufa hatapona lakini pamoja ya mateso yote hayo hakuacha kutuburudisha kwa mastori ya town.

Lala warumi mwendo umeumaliza.
 
Imagine uumwe halafu unajua hutapona utakufa utakata roho utaiacha dunia kwa wengine Hali hii tu ingewaletea stress za kufa mtu Ila yeye aliandika maparagraf kibao kutujuza mastori ya town
 
da jamaa amefariki du nilikua namkubali sana na ka id kake ka aki na ukwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…