Je, Warumi alijua kwamba atakufa?

Je, Warumi alijua kwamba atakufa?

warumi, pumzika kwa amani. Buriani

Duuhhhh aiseee..

Screenshot_20210826-220436_Samsung Internet.jpg
 
Binafsi namchukulia warumi Kama shujaa kwasababu nimejiuliza maswali yafuatayo.

Ugonjwa wake wa Figo sio kitu kilichokuja ghafla Kama ajali ya bodaboda ulianza polepole hatua kwa hatua mpaka ulipochukua maisha yake.
Kama ndivyo Basi alivumilia Sana mateso hasa ya kujua kwamba atakufa hatapona.lakini pamoja ya mateso yote hayo hakuacha kutuburudisha kwa mastori ya town.

Lala warumi mwendo umeumaliza.
Rip
 
Kwanini unaandika kama unakimbizwa mkuu!?? Hebu tulia uandike vizuri basi, wengi tunataka kujua kuhusiana na yeye
-jirani yako ?
-rafiki yako ?
-Hii habari wewe umeipata wapi!?
 
Jamaa alikua ni fan wa Diamondi sanaaa.but tunaomba mwenye picha yake halic
Wapi wewe jamaa alikuwa haters wa diamond vibaya , alikuwa na mikakati na carrymastory, kuna kipind kila ubuyu ukitoka anadirect kwenye accnt ya carrymastory...!! Alikuwa timu konde
 
Binafsi namchukulia warumi Kama shujaa kwasababu nimejiuliza maswali yafuatayo.

Ugonjwa wake wa Figo sio kitu kilichokuja ghafla Kama ajali ya bodaboda ulianza polepole hatua kwa hatua mpaka ulipochukua maisha yake.

Kama ndivyo Basi alivumilia Sana mateso hasa ya kujua kwamba atakufa hatapona lakini pamoja ya mateso yote hayo hakuacha kutuburudisha kwa mastori ya town.

Lala warumi mwendo umeumaliza.
Asta la vista Warumi.Ulale pema peponi
 
Back
Top Bottom