Je, Warumi alijua kwamba atakufa?

Je, Warumi alijua kwamba atakufa?

Binafsi namchukulia warumi Kama shujaa kwasababu nimejiuliza maswali yafuatayo.

Ugonjwa wake wa Figo sio kitu kilichokuja ghafla Kama ajali ya bodaboda ulianza polepole hatua kwa hatua mpaka ulipochukua maisha yake.

Kama ndivyo Basi alivumilia Sana mateso hasa ya kujua kwamba atakufa hatapona lakini pamoja ya mateso yote hayo hakuacha kutuburudisha kwa mastori ya town.

Lala warumi mwendo umeumaliza.
Kwa nini hamtaki kuleta picha ya marehemu?
 
Binafsi namchukulia warumi Kama shujaa kwasababu nimejiuliza maswali yafuatayo.

Ugonjwa wake wa Figo sio kitu kilichokuja ghafla Kama ajali ya bodaboda ulianza polepole hatua kwa hatua mpaka ulipochukua maisha yake.

Kama ndivyo Basi alivumilia Sana mateso hasa ya kujua kwamba atakufa hatapona lakini pamoja ya mateso yote hayo hakuacha kutuburudisha kwa mastori ya town.

Lala warumi mwendo umeumaliza.
warumi njoo ujibu maswali huku tunaulizwa eti kama ulijua utakufa
 
Nyie warumi kafa kweli au mnazinguana tu?
 
Back
Top Bottom