Je, Warumi alijua kwamba atakufa?

Je, Warumi alijua kwamba atakufa?

KILA MWANADAMU ATAKUFA.

AMEKUFA ADAM, AMEKUFA IBRAHIM, AMEKUFA NUHU, AMEKUFA NABII ISAYA, AMEKUFA NABII EZEKIEL, AMEKUFA KRISTO YESU (Ijapokuwa Amefufuka, na Yuko Hai), Amefuka Che Guevara, Amekufa Bob Marley, Amekufa Haile Selassie kadamaweh, Amekufa Peter Tosh, WAMEKUFA WENGI.

Ila kitu muhimu kabla Hujafa, HAKIKISHA UMETUBU, UMETENGENEZA MAHUSIANO YAKO BINAFSI NA MUNGU WAKO.
 
Imagine uumwe halafu unajua hutapona utakufa utakata roho utaiacha dunia kwa wengine Hali hii tu ingewaletea stress za kufa mtu Ila yeye aliandika maparagraf kibao kutujuza mastori ya town
Hali kama hio ni neema maana unapata muda wa kutubu kujisafisha mbele ya muumba hatimae unaingia zako mbinguni kiulaini mkuu
 
Sasa. Ndugu Kuna MTU hajui kwamba atakufa, ni Mda tu ndo hatujui.
 
Ntakumis sana warumi yaani nakumbuka kuna uzi ulileta siku ile diva anaanza kazi wasafi basi tulimchambaa wee mpaka mods wakaufuta uzi,basi nilkuwà nakukubali kinyama nikiingia celebrates forum naangalia warumi kapost nini
 
RIP ...WARUMI..

Menyezi Mungu akusameh..akupe pumziko la milele..

Innallillah...

Mmh..hii dunia ..tunapita..alikuwa na mengi sana ... ..kapumzika sasa!

Ile community ya" wale "..imepata pigo sana ..na sisi wana Gf..pia..

Mungu hakunyimi yote!

No maswali wakuu..wakuelewa

watafahamu pia..ukiona haipandi ujuwe si

yako hiyo..!
 
RIP ...WARUMI..

Menyezi Mungu akusameh..akupe pumziko la milele..

Innallillah...

Mmh..hii dunia ..tunapita..alikuwa na mengi sana ... ..kapumzika sasa!

Ile community ya" wale "..imepata pigo sana ..na sisi wana Gf..pia..

Mungu hakunyimi yote!

No maswali wakuu..wakuelewa

watafahamu pia..ukiona haipandi ujuwe si

yako hii..!
 
WHEN I AM FEELING ABOUT DEATH, I ASK MYSELF WHY AM I LIVING UNTIL NOW? THE MOST SOMETHING I AM FEARING IS STARTING THE LIFE OF LONELINESS UNTIL THE DAY OF JUDGEMENT
 
Back
Top Bottom